ile kip-lefti yetu iliyo katikati ya barabara jirani na twin tawazzz za benki kuu jijini, ambayo inasubiri JK aifungue pindi apatapo wasaa, imepata sura mpya wiki hii kama inavyojionesha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nabii wa Uongo, Mtakatifu Yohanna Mashaka,

    Nadhani ulikuwa Tanzania, na hilo shimo uliliona, tunaomba uandike atiko hapo ili wadau wachangie.

    Nataka wale wafuasi wako wa dhehebu lako la later day "doom"

    Una- brain wash Tanznia nzima hata na mashimo???

    Mdau from USA
    Yoyo

    ReplyDelete
  2. Ni vema Minara Pacha ikaanza kutumika hivi hivi, kimya kimya kama alama ya hasira na masikitiko ya watanzania kwa gharama kubwa isiyo na sababu ya kuijenga ambayo imeingia kwenye matumbo ya watu.JK, wala kiongozi mwingine yeyote, asiingie kubariki kwa kukubali kufungua jengo lililojengwa kifisadi, wakati huduma za afya zimedorora, maji safi hakuna, umeme wa kusuasua, elimu ni duni mno. Aidha itakuwa ni fundisho kwa wanaojenga majengo mengine ya umma na wanaotumia pesa ya umma kifisadi.

    ReplyDelete
  3. Wakati maandalizi ya ufunguzi rasmi yakifanyika, ninapendekeza ibatizwe 'LIYUMBA KEEP-LEFT'

    ReplyDelete
  4. hahaaa,liyumba keep left imetulia

    ReplyDelete
  5. hongera kwa viongozi wetu wema wa tanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...