miss tz 2000 na mwanamuziki mashuhuri jacquiline ntuyabaliwe a.k.a
klynn aongea na globu ya jamii kuhusu mahali aliko na anachokifanya kwa sasa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sasa kiswahili kimekuwa ngumu enhe watu wanaongea kiingilishi zaidi tanzania tambararae
ReplyDeletecode switching and code mixing, kwani kosa akiongea hivyo? ili mradi ujumbe unafika na kuongea pia hua ni sanaa, shule za sekondari masomo yote isipokua somo la kiswahili hufundishwa kwa kiingereza,je unajua walimu wengi wanavyofundisha? kama sio switching and mixing.hii inawezekana kua mtu anaweza akawa sio compitent katika lugha moja, au ni style yake ya kuongea ambayo anaipenda, au sometimes kupunguza ukali wa neno fulani,ila pia mara nyingine hua tunaonyesha kua tunajua na lugha nyingine pia, sidhani kama kuna ubaya.
ReplyDeleteI love this gal soooooooo Much Jamani, actually am crazy Over You honey. i love the dress you look so hot K to Lynn.
ReplyDeletesisi wa darasa la saba itakuwa munatenga namna hii kwakweli hamtutendei haki
ReplyDeleteK Lynn, you look fab in that dress... very simple but stunning!
ReplyDeletemimi naona sawasawa kwa watu kuongea lugha za mtoni, hivi unajua kwa nini wabongo tunapigwa kanzu katika mambo mengi na wakenya/waganda kimataifa [lugha babuuu].
ReplyDeleteBeautiful lady is good to develop yourself and based on this interview i think you have right mind set. keep it up.
ReplyDeleteLynn, Tfadhali sana shusha wimbo mwingine, kawaida wimbo wako na Bushoke uniondolea baridi kali la kipindi cha baridi (winter) hapa NY-USA, Tunasubiri sana kitu kingine mwanangu, linda kipajia chako, na pia tunza afya yako.
ReplyDeleteSasa Jamani?? Huku kama siyo kubagua wasiojua KINGEREZA NI NINI? Mbona enzi za mwalimu hii haikuwepo? Siku hizi hata makanisani mtu ana hama dakika tatu nzima ni kidhungu. Bungeni ndiyo usiseme. Tuambiane jamani kama Kiswahili siyo lugha ya taifa tena tujue ili nasisi tuanze ngumbaru.
ReplyDeleteWenu katika ujenzi wa taifa
Ndu'ngani Nakaiyo Dongo wa SLP 4 Kibaya Kiteto MANYARA, Tanzania
KAAAZI KWELI KWELI!!!! KIINGLISH SIO KIGUMU YAHEEE!!!! LEGEZA NDOMO TUUU ONGEZA AAAHH AHHH!! HAPO ANGEJIBU KIWAHILI ANGEPIGWA MASWALI KAMRAHISISHIA MWANDISHI
ReplyDeletejamani wasichana wazuriwazuri kama hawa mbona huwa hawaolewi?
ReplyDeleteUkiangalia majadiliano ya Nancy Sumary ulinganishe na hii, utaona J Klynn alivyochemsha. Akiona neno la kiingereza haliji anaingiza kiswahili. Lakini Nancy alikuwa hatetereki kiingereza kitupu hadi mwisho. Jamani chagueni lugha moja kuongea na sio kuchnganya kama hivi
ReplyDeleteSooooo goooood and niiiiice. "Am gona go"
ReplyDeleteUncle Michuzi Klynn yuko bomba sana please tell her dat same one, same where, loves her so much. please JN Marry Me!xxx
ReplyDeleteWAZO ZURİ KLYNN , MUNGU ATAKUSAİDİA
ReplyDeleteSAWA TU KWANI TZ TUNAONGEA LUGHA ZOTE 2 NA WAKATI MWINGINE MTIRIRIKO WA MANENO UNAKUWA MZURI UKITUMIA LUGHA MMOJAWAPO NA KAMA MDAU ALIVYOSEMA HAPO JUU KWAMBA MASOMO YOTE SEC NI KI-ENGLISH EXCEPT SOMO MMOJA KWA HIYO WAKATI MWINGINE KISWAHILI KINAKUWA KIGUMU ESPECIALLY UNAPOELEZEA ISSUES NA KIMASHULE-SHULE
ReplyDeletehuyo aliyesema k lynn kachemsha sijui nancy kaongea vzr ajiweke yeye hapo afanyiwe interview na yeye kama hatochemka..inakuhusu nini wewe..wewe utabaki kukosoa kiingereza tu wenzako wanaenda juu tu..utaona na kiingereza chako kama utafika popote.
ReplyDeletegals..kazi nzuri and i pray to God to help u reaching ur goals,msikatishwe tamaa na hawa shwains..
Michuzi mwenyewe ndio alikuwa anamuuliza maswali kizungu. Kaanza na "Hallo Jacquiline..."
ReplyDeleteSasa kama muuliza maswali kaanza na ng'eng'e wewe ujibu cha uswahilini uchekwe? Michuzi alipozidi kupandishiwa yai ikabidi nae aliendeleze asije onekana nae yai halipandi "Why interior designing?" Na msichana nae akazidi kuyaporomosha, lakini nae anayumba, akiona ana ki pointi kirefu kigumu gumu kukitemea yai basi anakumbuka cha nyumbani.
Hatujakubali Utanzania wetu na tamaduni zake, na almuradi Kiingereza bado ni alama ya usomi, tutaendelea kujikana utu wetu siku zote.
Kaaaziii kweli kweli
ReplyDeleteHAIJATULIA KABISAAAA! ATUMIE LUGHA MOJA KAMA KISWAHILI AU KIINGEREZA.
ReplyDeletemimi sijasikia naona picha sijui speaker yangu ina matatizo,ila nilipenda pia yule dada yake Nancy alicyoongea,shule baba shule hiyo.
ReplyDeleteKama hujui kiingereza ulijuaje kutumia computer na internet?
ReplyDeleteWatu wengine wanakuwaga na habari za kiduwanzi kweli kweli..
Kuna kosa gani yeye akiongea hivyo?
Kwani wewe na yeye background zenu ni sawa?
Anafanya anachotaka na wewe siku ukipata shavu la kuwa mbele ya kioo au redioni limwage tu hulazimishwi na mtu wala hufokewi..
HAHAHAHAHAHAH KAzi kweli kweli kweli kweli. MMH MMH U Know Me my Dadi boni mi HIA mama Kamu to amelika boni mi hia mi from HIA HIA. Mi Stadi Kumputa Endi Ridi Wadau. Yesu Money oh ISSA MICHUZI. Furomu Mwinyimkuu.
ReplyDeleteDuh watu wanauwa kweli Nancy kingereza aliongea zaidi ila wote tumewaelewa bwana, michuzi mbona una zoom sana hahahaha. Michuzi Ukikutana na mie naomba anza Habari Yako mwinyi za masiku ukiaanza Hello itakuwa ngumu kidogo kwa mie hahaha, Wadau watapata msemo. Vipi mwinyi unaendeleaje na Masomo yako shule ya Ufundi ah Shule ya ufundi naendelea vizuri tu Mwinyi... Nasomea Mtandao nataka kuipindua mtandao wako niwavute Wadau upande wangu hahaha. Justin.
ReplyDeleteHapa Marekani, mke wangu Muamerika mweusi uwa hapendi ninapozungumza kiswahili na wabongo wenzangu na kuchanganya na kiingereza, husema kama unataka kuzungumza kiingereza amua hivyo na kama unazungumza kiswahili basi fanya hivyo.
ReplyDeleteNimegundua utamu wa lugha ni lugha yenyewe sio kuchanganya changanya.Kama umeamua kushusha umombo shusha umombo na kama unapiga lugha ya madafu ipige mtindo mmoja bila ya hofu.
Mdau
ATL---Atlanta, land of Braves, Hawks and Falcons the dirty bird.
this girl is beautiful>> damn !!!
ReplyDeleteMDAU WA ATLANTA - APRIL 28 2009 SAA 11:14 ASUBUHI
ReplyDeleteNAKUBALIANA NA WEWE KABISA. KWA KWELI INASIKITISHA KWANI UTAMU WA LUGHA NI LUGHA YENYEWE.
UNAKUMBUKA ILE LUGHA YA MTANZANIA MWENZETU ALIVYOULIZWA NA DAKTARI WAKE ILIKUWAJE AKAANGUKA? AKAANZA KUJIBU KWA KUSEMA: ALIKUWA ANAKIMBILIA BENZI YAKE AMBAYO MKEWE (MY WIFE WAKE) ALIONDOKA NAYO WAKATI ALIKUWA HAPENDI MKEWE ACHUKUE HIYO BENZI WEEKDAY HIYO AMBAYO WEZI WALIKUWA WANAITAFUTA -BADALA YAKE ACHUKUE RAV4; AU ALIPOSEMA KWAMBA ALIKUWA ANAKUNYWA SCOTCHY WHISKY ILIYOLETWA KUTOKA UINGEREZA NA MTOTO WAKE.....ALIENDELEA HIVYO HIVYO NA KADHALIKA NA KADHALIKA. MTU ANAANZA KUWEKA KISWAENGLISH WAKATI HAJUI ANACHOTAKA KUJIBU AU ANATAKA KUJIBU ILI KUJIPAZA KWENYE NGAZU AMBAYO HAYUPO KIUCHUMI AU KIJAMII....NA HIVYO KAMA TUNAJIVUNIA KISWAHILI....TUKIONGEE KWA UFASAHA NA TUJIVUNIE LUGHA YETU. HILI NI OMBI KWETU SOTE...KUANZIA KWA RAIS, WABUNGE NA WATU WA KAWAIDA. NENDA UFARANSA, NENDA URUSI, NENDA BRAZIL AU NENDA MEXICO...UTAKUTA WATU WANAVYOJIVUNIA LUGHA YAO. KISWAHILI NI CHETU NA TUJIVUNIE ILI KITUMIKE KAMA SEHEMU ZINGINE DUNIANI. UMOJA WA MATAIFA UNAKUSUDIA KUTUMIA KISWAHILI KATIKA MIJADALA YAO KAMA SIO KARIBUNI, LAKINI WANA MPANGO HUO. ASANTE MDAU WA ATLANTA.
She's too skinny for ma liking..Am gon go now...
ReplyDelete