habari njema ni kwamba adam lusekelo ambaye amekuwa akivunja mbavu wadau kwa miaka nenda rudi kwenye gazeti la sunday news na hata daily news sasa naye kaamua kuingia mtandaoni rasmi na vimbwanga vyake utavipata kupitia:
adamlusekelo.blogspot.com
na unaweza kuwasiliana naye kupitia
na unaweza kuwasiliana naye kupitia
usikose kutembelea stellenbosch kwa wine test table mountain cape point na location pia kona moja inaitwa kwa Mzoli place siku nzuri jumapili utakutana na watalii wenzako na local people hasa wakina dada walio barikiwa makalio hapo ni kona yetu tamu sana kwa sie tunaoishi hapa utalii mwema pasop na scoliz
ReplyDeleteHizi picha zimenikumbusha kitabu cha Madiba "Long Walk To Freedom." Ni kitabu kinachosisimua sana.
ReplyDeleteNani kawaambia madiba ni hero wa africa? white man brain wash!! usikose kutembelea kaburi la stivo biko the real un sung hero
ReplyDeletena wewe unayesema umesoma kitabu have you ever read the master pic of stivo biko?its rear staff you can not find any jo average library
ReplyDelete