Kaka pole na kazi,
Pita yangu leo hii Pale KIA nikitokea Mwanza nakutana na hili bango
sina hakika na kilichoandikwa hapo, mana mie shule chini ya mwembe, Hivi Kilimanjaro siku hizi ni country?
Mie nilitegemea labda kuandikwe You are now in Kilimanajaro Land,
Wadau tusaidiane hapo...

Regards
Ekonjo (fotobaraza)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Acha uhuni wewe hapo inamaanisha upo in a country were kilimanjaro beer is available hayo mambo ya adverts mzee acha unationalism!

    ReplyDelete
  2. Tatizo ni wewe uliyepost hii picha kutotafakari lengo la tangazo hilo. Wenye tangazo wanakufahamisha kuwa sasa umeingia katika nchi iliyosheheni bia ya Kilimanjaro "Kilimanjaro Country".

    ReplyDelete
  3. NI KWELI UNAHITAJI KUULIZA. HILO NI TANGAZO LA BIASHARA NA SIO LA MANISPAA KWA AJILI WA KUTOA MAELEZO KWA WASAFIRI.

    HIYO NI LUGHA TU YA BIASHARA YA KIMATANGAZO.

    ReplyDelete
  4. Its all about creativity, ideas, the ads is cool and of course it deliver the msg...

    ReplyDelete
  5. ....maelezo ya hao wawili waliotangulia yamejitosheleza. sina haya ya kuongeza neno....!

    ReplyDelete
  6. Duh mtoa mada, uwe unatafakari maneno kwanza. Hapo nadhani ww umetafsiri moja kwa moja, neno hilo halijakosewa, you are now in Kilimanjaro Country!!! where u can get a Kilimanjaro Lager... Job true true teh teh

    ReplyDelete
  7. Kudoz kwa waliotengeneza hili tangazo, maana linafanya kazi yake linvyotakiwa, si mnali discuss mazee au sio?

    ReplyDelete
  8. labda ni kilimanjaro county ingelikuwa sahihi

    ReplyDelete
  9. Hiyo siyo lugha gongana ni uelewa gongana.ujumbe hauna kasoro msomaji hukuuelewa.

    ReplyDelete
  10. mkuu hapo anamaanisha this is tanzania the land of kilimanjaro. Hiyo beer kubwa bwana hawawezi kosea cio mbaya labda hukuelewa basi c twakuelesha. C unakumbuka hata air tanzania kabla haijafa ilikuwa inaitwa the wings of kilimanjaro na hiyo pia wataka kusema mabawa ya kilimanjaro poa kaka

    ReplyDelete
  11. Ni kweli umesoma chini ya mwembe muangalie vile kichwamaji, bichwa lote kubwa lakini akili ni ndogo kama za chawa teh teh teh teh.

    ReplyDelete
  12. Janja iko
    Nafikiri huyo jamaa hapo juu ajua vizuri sana ujumbe kwenye hilo bao,lakini he is simply generating a discussion to help in the promulgation and dissemination of the message,is he a marketing officer ?
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  13. Actually mtoa mada kanikumbusha kuwa muda umefika na mie kwenda kukamata Kilimanjaro yangu moja ya Bariiiidiiii. Hizi lugha za biashara zinazoweza kukusabibishia kwenda kutumia bidhaa hata kwa kujaribu tuu. Well done muandaaji wa Tangazo hilo.

    ReplyDelete
  14. suala ameuliza mmoja lakini wamefaidika wengi.malindi boy

    ReplyDelete
  15. Country (IPA: /ˈkʌntriː/) may refer to the territory of a state, or to a smaller, or former, political division of a geographical region. In another meaning of the word, the country (or countryside) is also a term used to refer to rural areas. Usually, but not always, a country coincides with a sovereign territory and is associated with a state, nation and government.

    In common usage, the term country is used in the sense of both nations and states, with definitions varying. In some cases it is used to refer both to states and to other political entities,[1][2][3] while in some occasions it refers only to states[4] It is not uncommon for general information or statistical publications to adopt the wider definition for purposes such as illustration and comparison.[5][6][7][8][9]

    Some entities which constitute cohesive geographical entities, and may be former states, but which are not presently sovereign states are commonly regarded and referred to as countries. The "constituent countries" of the United Kingdom: England, Scotland, Wales, and Northern Ireland, are one example, and the countries of the former Soviet Union and Yugoslavia were others. Another example is the Basque Country, which has a number of possible meanings, but none coinciding with the borders of a state. Here it is the distinctiveness the Basque nation which has preserved the use of the word; other former states such as Bavaria (now part of Germany) and Piedmont (now part of Italy) would not normally be referred to as "countries" in contemporary English. The degree of autonomy of non-state countries varies widely. Some are possessions of states, as several states have overseas dependencies (such as the British Virgin Islands, Netherlands Antilles, and American Samoa), with territory and citizenry distinct from their own. Such dependent territories are sometimes listed together with independent states on lists of countries, and may be treated as a "country of origin" in international trade, as Hong Kong is.

    ReplyDelete
  16. Nadhani walevi wote wameelewa tangazo linasemaje. Isipokuwa wale wabishi tu wasiolewa kuwa kuna beer imesimama hapo pembeni

    ReplyDelete
  17. Huyu Ekonjo ndo walewale wakienda mahali wakati wa kujitambulisha, utamsikia eti "I am Mr Ekonjo Blahblah" Do you really have to begin with I am Mr... Ok In other words, can You say You are now in Tanzania Country!!! Gee!
    The advert is ok dude, rudi kasome tena kiinglish shule ya msingi, nguchiro wewe. It simply means, You are now in a country/land where Kilimanjaro is found, PERIOD.

    ReplyDelete
  18. pole mtoa mada kwa kutoelewa, that is marketing communication bwana kwawale tuliosoma biz administration u understand what im talking about.

    ReplyDelete
  19. Sasa upo kwenye himaya ya Kilamanjaro...basi utaenda utatfsiri kuwa Kilamanjaro lager nayo ina himaya? Ish!

    Suluja Lindani

    ReplyDelete
  20. Jamani tangazo lina utata, halija kaa vizuri, na ujumbe hapa haupo straight, aliye andika hili tangazo kaliangalia katika lugha ya kiswahili alafu aka lihamishia katika kiingereza, - halina maana!!!

    ReplyDelete
  21. HAKUNA MAKOSA
    PITIA NOTES ZA AINA YA MATANGAZO
    KUNA SOFT AND HARD ADVERT...
    THEN UTAJUAJE HILI NI SOFT AU HARD ADVERTS...
    MOJA YA SABABU YA KULITAMBUA NI LUGHA.

    Ndg yangu hata ukiona LUGHA imepinda katika TANGAZO usishangae, Ni ubunifu tu wa kufikisha ujumbe Kibiashara zaidi.

    ReplyDelete
  22. HAPO KILICHOKOSEKANA NI ( The )AMBAYO INGESIMAMISHA KILIMANJARO KUWA NDANI YA COUNTRY.

    ReplyDelete
  23. Ni kurekebisha, maana ieleweke tu!

    ReplyDelete
  24. Kweli shule yako umeipatia chini ya mwembe,unadhani ni mtu tu kajiamulia na kwenda kubandika pale,hilo tangazo limetungwa na kuhakikiwa na wasomi.Safi sana Kilimanjaro"ur creative"

    ReplyDelete
  25. Nafikiri wewe ni miongoni mwa wasaidizi wa Meneja masoko wa bia ya Kilimanjaro pale TBL. Hongera kwa kufanikiwa kutangaza kili Time kwenye blog ya Michuzi bila kulipia gharama ya matangazo ya ziada. Ni ubunifu tu, keep it up.

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  26. Hee bwana weye hacheni ubushi wenu hapa.hohoo nimesoma Ads,nimesoma Biz, who cares.!!! hapa hakuna cha CV wala Resume.Hili tangazo lina utata,halieleweki kama linatangaza Kilimanjaro Beer au Kilimanjaro ya Mkoa...!!!! Kwa ufupi ni tangazo "tata" Jambo kubwa la tangazo ni lazima liwe na straight meaning na sio kuanza kumpa wakati mgumu mpitanjia/msomaji,kama linampa wakati mgumu mtu aliyeenda shule je mkulima wa kutoka Kishumundu itakuwaje..??!!.

    ReplyDelete
  27. Hili tangazo si la wasomi tu bali ni la watu wote na hata kama si wanywaji wa kilaji cha Kilimanjaro,so mhumimu sana matangazo yetu Bongo yakaeleweka kwa watu wote na si kwa wasomi wa lugha tu.Kilimanjaro country....Damn...!!!!

    ReplyDelete
  28. WAANGALIE WAOSHA VINYWA WENGINE NA PUMBA ZAO..ooh halielewi kama linatangaza Mkoa au Bia. Na hiyo BIA pembeni inafanya nini au ndio kielelezo cha MKOA.

    ReplyDelete
  29. Tangazo halina utata wa aina yeyote. Ni tangazo zuri na liko very professional. Naomba isifike wakati ikabidi litolewe eti kuwa accomodate mazumbukuku wachache wasioweza kulielewa.

    Hivi kweli nchi inaitwa jina halafu Country? Mbona sijaona Tanzania Country, au Italy Country, wala India Country? Nimesafiri nchi nyingi sana lakini ninapoingia immigration huwa sikuti, "You are now entering South Africa Country". Pale Namanga ukitokea Kenya kibao kinasema, Welcome to Tanzania, na wala siyo "Welcom to Tanzania Country". the same upande wa Kenya.

    Halafu mbona hii siyo mara ya kwanza kusikia matangazo ya namna hii. Kuna wakati DT Dobie walikuwa na tangazo lao zuri sana la Nissan Safari, ambapo ulikuwa unasikia sauti nzito ya kiume ikinguruma "Tanzania, Nissan Country".

    Au labda huyu anayesema tangazo ni baya anajaribu ku brew a storm in a teacup?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...