mambo ya michelle katika duka la virago
viatu vya michelle obama kibao
mambo ya barak na michelle
ushindwe wewe duka la pamba za kutoka kwa obama lililopo namanga karibu na best bite jijini dar ni balaa tupu toka kwa watoto, kinababa na kinamama na wote wanaojua nini maana ya kula pamba. sio sare-sare maua mjini. libeneke lao linapatikana hapo chini

http://www.viragoshop.blogspot.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ACHENI KUFAGILIA VITU VISIVYO NA MANUFAA KWA UCHUMI WETU, VYOTE HIVYO NI IMPORTED, WHAT ABT OUR INDUSTRIES???

    ReplyDelete
  2. Midosho tupu

    ReplyDelete
  3. come'on man! Mitchele anavaa viatu hivi? au kidogo style zinafanana? Obama? embu give me a brake plssssssssssssssss!

    Kwani mkisema viatu anavo vaa MISHI havito uza?
    mnaingia mkenge mitchele anavaa vitu vya kina Jackline kenedy.plssssss. wanamfananisha na princess DIANA! plsssss.
    leo mnamfananisha na vilago duh! mmenda mbali.

    ReplyDelete
  4. kwa viatu wanajitahidi kinoma! lakini magauni mh mmmh bado kabisah.
    ongezeni magauni yenye thamani sawa na viatu vigauni vipo vipo tu.
    viatu madole gumba juuuuuuu

    ReplyDelete
  5. MAONI MAZURI NA MABAYA NDIYO YANAOONGEZA CHACHU NA KUSHUSHA VITU (MZIGO)VYA NGUVU KULINGANA NA VIPATO HALISI VYA WATU WA HUKU BONGO!
    VIRAGO TUNAJIVUNIA KUWAVALISHA WATANZANIA VITU VYA NGUVU AMBAVYO HAKUNA WATEJA WALIOLALAMIKA, WAANAOLALAMIKA NA NDIYO MAANA KILA BAADA MUDA MFUPI TUNAINGIZA MALI MPYA INAYOKWENDA NA WAKATI.
    DAIMA TUNAANGALIA NA KUSIKILIZA MAONI YA "WATEJA WETU" WANACHOKITAKA NA TUNAWATIMIZIA.
    DAIMA MBELE NA DAIMA TUTAWAPAMBISHA WATEJA WETU NA KUONEKANA MOTO WA KUOTEA MBALI BILA YA WAO KUTOKA NJE YA NCHI.
    TOA MAONI YAKO, TUTAYAPOKEA NA MAKALI YAKE UTAYAONA KILA MALI (STOCK) MPYA INAPOINGIA...
    NEXT STOCK WILL ARRIVE SOON TOO AND BE AWARE WE ARE THE PEOPLE'S CHOICE AND THEY LOVE US TO DEATH.
    YOU ARE ALL WELCOME AT VIRAGO THATS THE BEST TO DO. IT'S PUBLIC SSHOP SO EVERYONE NO MATTER WHO YOU 'RE.
    BY LOOKING AT THE PHOTO WON'T GIVE YOU THE REAL PICTURE OF ANY ITEM YOU ARE LOOKING AT.THE BEST THING JUST COME AND VISIT US!!!!!! JUST COME AND YOU WILL JUDGE US FROM THERE. WE WELCOME EVERYONE.

    ALWAYS THINKS VIRAGO; PROBABLY THE BEST BOUTIQUE IN TANZANIA AND AFRICA! (VIRAGO-DUKA LA PAMBA)

    ReplyDelete
  6. mie nadhani mdau wa 10:57pm hujaelewa lugha ya michuzi kusema mambo ya mitchelle obama ndani ya virago.
    nikufafanulie; ni kwamba mali wanazoingiza zinatoka MAREKANI ambako siku hizi huku bongo kunitwa kwa OBAMA na siyo US au Marekani kama zamani.
    kama utakumbuka Uingereza kulikuwa kunaitwa kwa "mama" au Queen. mtu akisema anaenda kwa mama, hamaanishi anaenda kwa mama yake bali Uingereza. Siku hizi UKEREWE!
    Lingine, mtu akisema anapanda PIPA au tube haaminishi anapanda pipa la maji au la taka, bali ni ndege hiyo.
    Kwa hiyo kiswahili kinakua na kujiendeleza kila siku. UKIAMBIWA KWA OBAMA ujue USA.Ukiambiwa anaenda UKEREWE ujue UK.
    VIRAGO duka la nguvu DAR na hakuna dula linaloingiza mali zinazoenda na wakati kama hilo. Sidharau maduka mengine.
    lakini tunaona LONYALONYA kibao za CHINA, DUBAI, INDIA, THAILAND, HONG KONG, MBAGALA ambazo UKIFUA tu rangi inaondoka. size 12 inakua size 6 au 18, rangi nyekundu inageuka pink, bluu inakuwa zambarau...balaa tupu (poor materials).
    LAKINI mali za VIRAGO, FUA, ANIKA, PIGA PASI, VAA, FUA TENA, ANIKA, PIGA PASI, VAA MPAKA UCHOKE MWENYEWE NA UMPE HOUSE GIRL AU HOUSE BOY WAKO, the quality still there. ITS ABOUT QUALITY NOT QUANTITY!
    MAMBO YA VIRAGO NI MOTO WA KUOTEA MBALI. NI MALI ZA KWA OBAMA (US),KWA MAMA (UKEREWE), PARIS, ROME ambako huko vitu lazima viwe kwenye VIWANGO (bongo tunaita TBS) vya HALI YA JUU vinginevyo vinachomwa moto.
    huwezi kufafanisha mobile phone ya China na Uk hata kama zote ni same brand. same thing apply to other products.
    WELL DONE VIRAGO duka lenu la nguvu sana. tena sanaaaaaa.

    ReplyDelete
  7. So true I do agree with anonymous April 11,1:48pm & 2:12pm. I visited the shop last year during Christmas time though for a while but boy.....hili ndio duka sikuona kiti fake as I was telling them that I love their hand-bags coz are genuine and I felt confident buying them.....keep up the good work Vilago. On top of that there are very friendly my kids were well received !!!

    ReplyDelete
  8. Mdau April 11, 2009 2:12 PM siyo kiswahili kinakua. Kiswahili kinaharibika na upunguani unaongezeka.

    ReplyDelete
  9. poa liwe la nguvu who cares kwani ugomvi mmekuja kwa pupa! duh hamna haja ya kujipigia debe kiasi hichi kaa eni kimya mpate maoni sasa maoni yakiwa ya kujipigia debe mtafanya watu washindwe kuwaeleza mnayotaka kusikia.kweli mnavitu vya nguvu
    LAKINI MAGAUNI KAMA YA HONEYS FASHION.leteni mapigo tofauti kabisah kama mnavofanya kwenye viatu na hand bags.
    mimi bado nang'anga'nia vigauni vyenu viduchu viduchu lakini hizo bei?
    eti ukifua anika bado liko vile vile hacha uongo hizo nguo zote ni dry clean only.
    ukizifua na maji ya bomba yanayofanana kama chai ya maziwa subutu! zikabaki hivo hivo,si pondi lakini uongo wa nini?.hizo si nguo high quality? sasa zitafuliwa kwa mikono kweli!

    ReplyDelete
  10. Haaaaaalooooooooooooow. kweli VIRAGO inawmiza vichwa wapinzani wake.
    hili duka halina mpinzani na kama lina wapinzani basi ni wateja wao manake ndiyo wanaowaumiza vichwa kila tripu wanayoleta mzigo, walete mitindo ya aina gani.
    mie ni mmoja kati ya wateja wao. lazima niseme ukweli duka lina vitu vya kileo. wakati mwingine mjasirimali anapopiga hatua na kutuletea vitu vizuri vilinganavyo na thamani yake tumpe moyo.
    Idumu VIRAGO. tumechoka kuvaa chibanibani ukivuta hairudi. MADE CHINA, THAILAND, HONG KONG nani anataka hizo.
    JAMES, MISHY, CECI tuleteeni mavazi bwana achana na waosha vinywa sisi ndiyo tunaojua na ndiyo tunaolipa. hatujalalamika.

    MTEJA MAALUM (JINA KAPUNI).

    ReplyDelete
  11. jamaniii michuzi picha ulizoeka humu kwenye blog yako wamekupa virago au umechagua mwenyewe?
    mtumeeeeeee.nimeingia kwenye blog ya virago nijionee mwenyewe mbona vitu hatari hivyooo. suti za bernini, viatu kwenye v style, jamani magauni magauni magauni jamani hatari. viatu na sandles za kike ndo usiseme. mie simjui mwenyewe lakini duka la nguvu.
    sijui bei zake zipoje lakini hatari. hongereni wenye duka mnajitahidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...