
marais wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki wakikutana kwa faragha ngurdoto, arusha
JK akiwa na marais wenzie wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki baada ya kikao chao cha faragha hoteli ya ngurdoto arusha. toka shoto ni marais Yoweri Kaguta Museveni wa uganda, Mwai Kibaki wa Kenya, Paul Kagame wa Rwanda, JK na Pierre Nkurunzinza wa Burundi. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu
Mpaka Hapo washatengana Wakikaa Sofa moja wawili wawili au watatu si inatosha? masofa mengine wangewapa wanaohitaji natania tu wadau msije kunijia juu.
ReplyDeleteNawashaurini sana nyie maraisi kukazania sana miuno mbinu hasa ya barabara. Tunataka kuwe na barabara kutoka mtwara hadi Burundi, na vitu kama hivyo. Pia swala la lugha ya Kiswahili lipigieni upatu,kwani ndio kitu rahisi kinachoweza kuchangiwa na nchi zetu
ReplyDeleteMbona rais KAGAME kakaa katikati kwenye red carpet? Na kwenye makochi kakaa kama ndiye kiongozi wao??
ReplyDeleteNdio waheshimiwa ndio kama hivyo mibomu shwaa shwaa kaeni mkao wa mabomu yatafika hadi huko
ReplyDeleteviongozi wa afika kama miungu-watu vile???
ReplyDeletesasa ndo nini icho?
kazi kukomalia ARDHI YA BONGO,AJIRA
BBC jana walikua wanahoji why tanzania refuses that agenda ya ardhi na ajira,MNAULIZA JIBU?
kisiwa tu kile wanachogombania kenya na uganda jaman adi kituko,acha tu uo ubishi NANI AWE KIONGOZI WA SHUGHULI ZA KISERIKALI BUNGENI KENYA
michu tupe newz zile za ugomvi jirani
HAYA mazito (east africa mashariki!)
ReplyDeleteDunia ya kiswahili inatabu
for your info anony no 4 rais kagame ndio mkuu wa marais wa afrika mashariki kwa sasa hivyo protocol imezingatiwa
ReplyDelete