mmoja wa washiriki miss maswa 2009
miss maswa 2008
mshiriki wa miss maswa 2009
Kampuni inayoaandaa mashindano ya urembo ya miss Maswa,
Jackie entertaimnet
imeibua vipaji vpya vya warembo ambao anaamini watafanya vyema katika mashindano ya mkoa wa Shinyanga 2009.
Jackline amesema kuwa washiriki wa shindano hilo jumla wapo kumi na wako fiti kila idara.
shindano hilo linalooonekana kuwa na mvuto wa aina yake linatarajiwa kufanyika may 2 ukumbi wa halmashauri Maswa, ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni 4000 kwa kila kichwa na bia moja aina ya redds kwa watu 100 wa kwanza.
amesema kuwa mbali ya hayo pia kutakuwepo na burudani mbalimbali akiwemo msanii wa muziki wa bongofleva Joseline pamoja na rapa mahiri kutoka bandi ya muziki wa dansi ya Fm Academia.
wote mnakaribishwa kushuhudia mapinduzi mapya ya urembo ndani ya wilaya ya Maswa
jamani kuaw miss sio lazima kuvaa kiswimingpool sebuleni au labda mie mshamba hivi huwa waamuzi wanaangalia mapaja na vifua au?nielimisheni. niliangalia mashindano ya ma Mr sikuona aloonyesha nyeti zake. dada kama hapo ni swimingpool umependeza
ReplyDeleteMtu Mzima kidogo,lakini analipa!
ReplyDeleteMaswa kumekucha eeh
Wazee wanaruhusiwa kushiriki katika hili shindano? Au ni forever 21?
ReplyDeleteMwenye macho na aone a.k.a biashara matangazo.
ReplyDeleteMashindano ya umiss nayapenda sana. Vichupi na mapaja nje nje siku hizi.
ReplyDeleteMaswa wanajua kuwela Lipstick..! naona wote midomo imependeza. Hongereni sana.
ReplyDeleteHuyu binti kinda kabisa kama anavyoonekana, ndio kwanza ameturn 18 yrs old. Acheni kumwangia jamani.
ReplyDeleteJamani watu wamaswa tusifanye umiss tu, tufanye na harambee za kusomesha watoto wetu. kwenye harusi mnakumbuka wazee wetu walikuwa wanaimba, "mwamtwala mwanawise mwamtwala asomile". Sasa hii itawezekana vipi kuimba kama hatusomeshi mabinti zetu. Tuchange tusomeshe mabinti zetu eh.
ReplyDeletewe got long way to go yaani hawa waishie huku huko shinyanga lets be real...hii fani imeingiliwa
ReplyDeletemichu wee umeitoa wapi hii picha ya uyu dada???hahahahahahaaaa biashara
ReplyDeleteila mboni kajaa nyama ivo?? ivi uwa mnawaona vile vibinti vya miss world???
adi unaogopa kumshika asije vunjika