ile kip-lefti yetu karibu na twin tawazzz ya benki kuu bado kufunguliwa.kwa mujibu wa redio mbao  inasemekana itafunguliwa mwezi mmoja baada ya sherehe za muungano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. JK ana habari? Check ratiba yake kwanza. Si ajabu ikachukua muda mrefu kufungua hiyo kip-lefti maana jiwe la ufunguzi halijakamilika, naona utepe tu. Je mkasi wa kukatia utepe upo au atatumia kisu siku hiyo???

    ReplyDelete
  2. Tungewekeza kwenye uongozi wa jiji sasahivi mambo yangekua byeee.Iyo ni kazi ya siku mbili tuu.

    ReplyDelete
  3. Kweli ni kazi ya hata siku moja tu au saa chache. Lakini si mmekwisha wahi kusikia benki zikiibiwa mapesa kwa kuchimba mahandaki ya chini kwa chini hadi jamaa wanaibukia strong room. Sasa keep left gani hiyo jamani ya wiki tatu. Hapo inawezekana shughuli inayoendelea ni nzito zaidi na siyo ya keep left. Tanzania siku hizi ujanja umezidi umeingia mpaka makanisani- utapeli wa Ponzi schemes wa karne ya 19 viongozi wa kanisa wa karne ya 21 wanatuambia ohh sijui maono sijui upako. Hapo wanaglobu ya jamii msishangae tukiambiwa baadae kwamaba jamaa walikuwa wanachimba handaki na wameondoka na mabilioni!!! Saa hizi tunasema Keep Left, kumbe Handaki Left!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...