mwana FA wakati wa gig lake siku ya muungano dei jijini moscow.
ilikuwa patashika
palikuwa hapatoshi
mwana FA akiwa bado yupo yupo na wadau moscow

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tafuta ada hiyo mwanaFA, waache waseme mwisho watachoka na usiku watalala...
    Haters ni part ya jamii, bila wao motivation zitakuwa chache, na kufanikiwa kwako kunazidi kuwanyima usingizi.

    Mdau UK.

    ReplyDelete
  2. khaaa nae uyu yuko moscow??

    ok kijana

    ReplyDelete
  3. Ilifanyika Strippers' Pub ninii? Saafi iyoooo. Big Up MwanaFA

    ReplyDelete
  4. ahahha! hahahaha! hahahah! kwani huyo ni nani asiwe moscow?

    ReplyDelete
  5. mvijana mnanikumbusha jolo kwamama mchwaa zolo yupo wapı?ustadhı hapa ubatani,kuweni makını sana vijana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...