
Kwa a mara ya kwanza
afrika jambo band
kuwasha moto ndani ya reading siku ya jumapili ndani ya reading
03/05/2009 bank holiday weekend
time 10pm till
3.45am
entry £10@the door £7 in adv
come early and enjoy bbq
nyama choma&the best tunes with finest djs richie, peter,chambie,andy&eric
tule tunywe tucheze wote mnakaribishwa
Hivi nyie jamani mkitangaza mziki ndio muweke picha kama hii,mnatudhalilisha akina mama/dada . Mbona akina Lady JD wanaweka picha zao nzuri tu na watu wanakuja wanafurahi ,hebu tafuteni picha za kileo lakini za heshima mnakuwa kama hamna dada na mama zenu huyo,hao watu walinusu ouchi hatuhitaji kuwaona mziki ni sanaa inayoheshimika na audience mnayoitemea muiheshimu.Hivi ukiwa na binti yako akabandikwa namna hiyo utaafiki??acheni kuiga!
ReplyDeleteannon #1 umenena sawa
ReplyDeletenilitaka kuuliza pia,ivi nyie wabeba box adi mtundike picha za X"|\.**%&^' apa ndo watu watajaa au?
afu ni wa nchi iyo au m-bongo iyo picha??
acheni wehu na kuiga,nyambafu
WADAU MLIOTOA MAONI KUTOKA CHINI,WALA HAMKUKOSEA PICHA ZA TANGAZO HALIENDANI KABISA NA MADHUMUNI YA TUKIO LENYEWE,KIPI KATIKA PICHA HIYO KINAUSIANA NA DANSI TENA DANSI LA KIAFRIKA,HATA MGE WASILIANA NA WALE WAZEE WA AFRICA JAMBO KWANZA KABLA YA KUWEKA UJINGA KAMA HUU,KUWA PROMOTA NI SKILLS UNATAKIWA UKAE DARASANI KUSOMEA KAZI YENYEWE NDUGUZETU WA READING BADILISHENI HILO TANGAZO WEKENI ATA TWIGA,MLIMA WA KILIMANJARO ATA PICHA ZA WACHEZA SINDIMBA TENA MTASHANGAA MTAPATA HATA WAZUNGU WA WILI WATATU.
ReplyDeleteannon #2 na #3 nawashukuru kwa kuniunga mkono maana matangazo ya hivi yanadhalilisha mwanamke, tena natoa maoni yangu kama mwanamke Mtanzania.Annon #3 umesema kweli promota ni skills.Yaani uzuri wote tulionao Tanzania hii picha ndio promota kaiona inafaa.Itangazeni nchi yetu kwa mazuri namna hii hatufiki popote.
ReplyDeletereading,,,mmechafua hewa
ReplyDeletehamna la maana,la hekima??tangazeni tanzanite ilo bango au zanzibar,great serengeti migration nk
wee promota ulizaliwa na mti????sio ivi yani
Mi kwa ghafla nilipotupa jicho kabla kusoma maudhui yalinipa picha kuwa ze utamu imehamia hapa kijijini,nilishtuka kidogo kumbe wala maskini ni tangazo la ngoma tu.
ReplyDeleteAh mi sina zaidi ila dhalala iliyopo hapo haimuhusu huyo dada pekee, hapo inadhalilisha wanawake kwa ujumla.
Nami nawaunga mkono wote mlioandika hapo juu. Mi nilivyoiona hiyo picha nikakosa hamu ya kwenda huko reading maana nimedhani ni miziki ya kustrip kumbe ni ya kawaida. Jamani wekeni picha ya hekima. Mie kama mwanamke naona nimedhalilishwa. Mziki ni burdani utangazeni vizuri.
ReplyDeleteAsante.
acheni unafki jamani!!!kha!!huyu anayeandika comment ni mtu mmoja!
ReplyDelete