
Jacob Zuma akifurahia uamuzi wa kufutilia mbali
madai ya ufisadi yaliyomganda kama ruba

wafuasi wa anc wakifurahia uamuzi wa
mahakama kuu nje ya Pretoria High Court
Baada ya tume iliyokuwa ikishughulikia kesi ya Mh Jacob Zuma wa Africa Kusini kufutilia mbali kesi hiyo, sasa njia ya Ikulu ni nyeupe kwa Mheshimiwa huyu.
Baada ya Kutangazwa kufutwa kwa kesi hiyo kwa madai kuwa ilikuwa ya kiasiasa sana picha ya kwanza mheshimiwa Zuma akiimba wimbo usemao, Msim Wam x2 Msim wam ee baba, akiwa na maana nipeni "Mashine Gun yangu".
Zikiwa zimebaki siku 15 kwa uchaguzi mkuu wa Rais sasa ni dhahiri kuwa cha kumzuia huyu kipenzi cha watu wengi hasa wa kabila la Wazulu.
Picha ya pili ni wafuasi wa Jacob Zuma wakishangilia uamuzi huo huku wakiwa na mabango "Vote Zuma" nje ya Pretoria high Court
Imeletwa na mdau
James Sabuni
Cape Town
Mmhhhh.... Hapo kuna kazi kweli kweli....
ReplyDeleteNjia ya ikulu ni nyeupe kwa sasa, na kama kawaida ya wazulu wanaume, mwanaume jasiri ni yule mwenye wake na vimwana wengi wa pembeni. Sasa wasichana wadogoeadogo na wakae mkao wa kuliwa na huyu mzee.
ReplyDeleteNatamani nikawe msaidizi wake wa mambo ya ndani ya ikulu. Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!
..ahsante mdau Sabuni, baada ya kusoma maudhui, nimecheka kidogo...maneno/lyrics yenyewe ya wimbo ni 'Umshini wam, mshini wam / khawuleth'umshini wam' ... yaani ni kizulu kusema: '..mtambo wangu, mtambo wangu, naomba niletee mtambo wangu..' maana iliyokubalika 'mtambo' ni 'mashin gan', bunduki, chuma..lakini pia si mwamjua vizuri mzee mzima..mujibu wa wataalamu wa mambo, hapo 'mashine' pia ni 'yale mambo yetu' yale... Wampe tu u-Rais 'mwanaume-wa-shoka'..
ReplyDeleteRais hajatulia kabsaaaa!! Utadhani katoka kabila fulani Bongo!!!!
ReplyDeletehuyo Zuma si ndio yule ambae alimbaka mwanamke kwenye Ukimwi jamani, sasa yeye anaukimwi au la? Sasa hawa wa South Afrika wantaka kuchagua Rais, hii ni kasheshe 2. Hajaenda shule huyu kama SA ndio watamuweka rais huyo basi wamekwisha hamna kitu hapa
ReplyDeleteJamani huyo Zuma si ndio yule baba ambae alibaka mdada anaukimwi? Yaani sasa hivi ndio hao wafuasi wake wanataka awe Rais..hmmmmmmm RAisi mbakaja na corrupted hmmmmmmmm sijui
ReplyDeleteHuyu ni O. J. Simpson wa South africa, arobaini yake itafika tu! atakamatwa hata kwa kuiba kuku!
ReplyDeletesasa naona mzee wa shower akichukuwa nchi itabidi turudi nyumbani tu manake nchi hii itakuwa kama zimbabwe na xenophobia itaanza tena baada ya miaka 12 itabidi nifungashe kuanzia sasa maneno kwa Bi mkubwaa hahah manake akichua mshini wake ataangamiza mbeki na wafuasi wake wote wa cope cogres of the people (shikota limited) mdau from Stellenbosch
ReplyDelete