TETEMESHA ENTERTAINMENT IKISHIRIKIANA NA SHWARI DOT COM, WANAKULETEA 'THE HOUSTON OFFICIAL BONGO AFTER PARTY'. USIKU WA KUJIDAI NA KUCHEZA NGOMA ZA UKWELI KUTOKA KWA MA DJ WA UKWELI, WALE WAPENZI WENYE KIU YA KUCHEZA NA KUSIKIA BONGO FLAVA, OLD SKUL ZA KUANZIA 80's, 90's, 2000's, BOLINGO NA BAKULUTU ZA KUFA MTU BILA KUSAHAU 'NYU SKUL, SASA NDO WAKATI UMEWADIA, NI NDANI YA CLUB ADDIS ABABA (restaurant) ILIOPO NDANI YA HOUSTON
 
                               MAHALI   :  CLUB ADDIS ABABA
 
                           ADDRESS:  7668 DE MOSS DR, HUSTON TX  77036
 
                                           DATE :     2nd MAY
                        
                              COVER:  $ 10 GUYS & LADIES FREE TILL 1:00 PM
 
                                    TIME:      DOORS OPEN FROM 11 PM
 
                       DJ KAYCEE a.k.a THA POST & DJ ISSAR (PEOPLES CHOICE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. lazima nitokee ndani ya addis ababa, maana huyo dogo dj kaycee naijua balaa lake akisha shikilia mtambo, anaweza usirudi kwenye kiti mpaka asubuhi. big up dogo endeleza kazi nzuri ya kuburudisha.

    ReplyDelete
  2. Houston. Kuna mambo, party zisizoisha .

    ReplyDelete
  3. Houston. Kuna mambo, party zisizoisha .

    ReplyDelete
  4. chema chajiuza kibaya chajitembeza mafuriko haya na party wapi na wapi watu wemeshindwa kwenda kupiga box siku kadhaa leo unawaletea mambo ya party labda sio wabongo

    ReplyDelete
  5. Baba UbayaApril 30, 2009

    Ladies free till 1pm??and door open from 11pm,so how will those ladies get in??

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 02, 2009

    Huyo Dj Issa ni miyeyushooooo mnoooo...fani ameirukia.....haiwezi... Dj Rex........numero uno

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...