

How to avoid:
Check on the bottom of the bottle there is a triangle sign and there will
be a number on it. If the number is higher than or equal to 5 - then this bottle is safe to use. Whatever number under 5 will release the chemical. For most bottle water, the number is 1.
Remember to check and stop re - use of those bottles
Kaka hapo nimejifunza kitu leo, ilinibidi kuinua chupa na kuangalia chini. Asante kwa mdau uliyetuletea hili
ReplyDeletehata mie nimejifunza kitu. tnx mdau
ReplyDeletembona kama info hizi zinajichanganya...Mimi ninavyojua kama chupa unayotumia sio BPA free basi hiyo triangle iwe na number less or equal to 5 na jitahidi usitumie #3
ReplyDeleteSafer Choices:
Select safe plastics that use polyethylene (#1, #2, and #4) and polypropylene (#5), which require the use of less toxic additives. They also are non-chlorinated.
Avoid:
Avoid choosing products that use polyvinyl chloride (#3), polystyrene (#6), and polycarbonate (#7) which often are found in baby bottles or sippy cups.
Lakini siku hizi na hizi researches kila siku ni shida sana kuelewa lipi ni lipi. Cha muhimu kutumia metals, ceramic or glasses au turudi kwenye zama za vibuyu na vyungu vyetu tutasalimika bila hivyo ni cancer tu na kuwa na HDD nyingi tu
ASANTE KWA USHAURI WAKO MZURI ILA MIMI SIONI TATIZO KAMA CHPA HIYO NITAITUMIA KWA KUWEKEA MAFUTA YA TAA AU KITU CHOCHOTE NISHOKUNYWA SASA SIJUI WEWE ULIONA KUNA MADHARA GANI KWA MATUMIZI NILIYOYATAJA.
ReplyDeleteSiku nyengine Muwe Mnaelezea kwa Kiswahili wengine waelewe jamani tunawaomba, Michuzi tunakuomba habari muhimu kama hizi ziwe za kiswahili pia. KISWAHILI LUGHA YA TAIFA NA YA WADAU WA MICHUZI NA NDOMANA MICHUZI BADALA YA LIVERPOOL HUSEMA BWAWA LA MAINI KWA SIE TUSIOELEWA TUELEWE.
ReplyDelete