wafanyakazi wa irish pub iliyoko msasani mwisho hapa dar wakishangilia huku msanii Fid Q na waalikwa wachache wakishuhudia wakati msanii rehema chalamila a.k.a ray c alipokuwa akivishwa pete ya uchumba katika sherehe ndogo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo. tarehe ya ndoa bado ni siri ila inasemekana itakuwa si siku nyingi zijazo kwani wiki ijayo anaelekea london kwa shoo kibao pamoja na kufanya shoping ya harusi
mtarajiwa ana aibuuuuuu...
watarajiwa wakifungua dansi katia sherehe yao fupi ya kuvishana pete katika ukumbi wa irish pub, msasani mwisho
mshkaji na we miyeyushooooooo!!!!!
ReplyDeleteapril fools washike..........
ndio mkuu wa nanihii ya nanihii.....mbona kama pete wewe ndo unamvalisha sio fid q??????? nilkuwa naisubiri kwa hamu siku ya leo nione utatupa nyuz gani kwa fools day ya 2009.....asante mkuu wa nanihii ya nanihii.....
ReplyDeleteila yawezekana kweli....
happy Foul day.....!!:-P
ReplyDeleteHayo macho hayo...
ReplyDeleteMkuu wa nanihii kila ikifika Aprili mosi mambo yako yanakunyookea tu.
mvisha pete ndo mume mtarajiwa? ni nani huko bongo sisi wengine hatumjuwi kwa vile si wfuatiliaji wazuru wa mambo, pengine wanaomjuwa watupe habari, nilisikia noelewa na mmoja na NACLE 2 NACLE BONGO FLAVA Y ARUSHA, JE NDO HUYU, KMA NDO MWENYEWE SHAPE HIYO WAPI NA WAPI NA MZIKI WA KIZAZI KIPYA? HENDANI NAO KABISHA? NAJUWA JOE MAKINI ANA FEATURES YA MZIKI SI HUYU DUDE! NA BINTI UZURI WOTE NDO NINI?
ReplyDeleteMaendeleo ni kusonga mbele..
ReplyDeleteKutoka UKUU WA TEGETA hadi MR.RAY C.
April,1st.
jamani michuzi kidogo nizimie,yaani kwaumbea nikampigia simu mume wangu kumwambia.lol s ndo ananistua ni siku ya wajinga.wala hilo sikuligundua.ila mmepenzea sana.vp naona kama Ray c ni mtarajiwa kweli................
ReplyDeletekwani yule kijana mwingine vipi?(mwisho)lakini mtoto bado wamo karibu UK mtoto
ReplyDeletekaribu UK hasa SOUTHAMPTON ukutane na the tall boy!
ReplyDeleteAPRIL FOOL!
ReplyDeletefool urself not me...1st april
ReplyDeleteafu wewe utapigwa wewe, shaul lako!
ReplyDeleteafu isijekuwa unafanya kweli afu unamdanganya mama nanii kuwa usihofu ni aplil fulu! shaul lako nasema tena!
HUYU BWANA HARUSI MTARAJIWA NI KAKA YAKE ISSA MICHUZI? NAONA KAMA AMEFANANA KIDOGO.HONGERENI NAWATAKIA MAISHA MEMA YENYE AMANI NA UPENDO.
ReplyDeleteWewe Michuzi, unataka kumfanya nani mjinga?, leo ni siku ya WAJINGA. Lakini Balozi unaweza fanya utani Ray C akawa wako baadae.
ReplyDeleteUzuri wa watu wa Ulaya tuna machale saana braza Michu...APRIL FOOL BRO!
ReplyDeleteApril Fools Day!Nice try Michuzi.
ReplyDeleteanaonekana mjamzito au ni macho yangu?
ReplyDeletetupate na iyo siku ya wajinga. mdau Holland
ReplyDeleteSamahani kaka Michuzi sasa mbona hukutupa jina la mchumba wa Ray C? Halafu huyo mchumba wa Ray C kwa kweli sura yake siyo ngeni kabisa machoni kwangu. Yaani huyo mchumba wa Ray C anavyofanana na wewe kaka Michuzi!!!
ReplyDeletemjidanganye wenyewe
ReplyDeleteMichuzi, wewe na Ray-c mlianza kutoka pamoja lini??? Hata sie wajinga tunamacho... Ukizingatia picha ya engagement na picha yako ya blog ziko side by side....... Got ya!!!
ReplyDeletesasa aliyemvisha hiyo ring ni nani? au mume mtarajiwa jina mbona umeliweka kapuni? but i'm confused ni weeee tena hapo unyemvisha hiyo ring? mbona kama sura yako vile? au ni pacha wako au pc yangu inahitaji kusafishwa kidogo. mnafanana saaaana ehe...lakini kama ni weee mbona mambo...ukweni kwetu tunakoenda kila siku kumeshakua zilipendwa?
ReplyDeletei wish her all the best.....aliyempata huyu bibiye is the lucky guy
congratulations ray c
mwaka wako huu mkuu wa naniniliii.
ReplyDeleteHujanipata bado, sherehekea mwenyewe hii sikukuu.....:-)
ReplyDeletejamani mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii april fools stunt hii kabambe yaani kwakweli nilifikiria sana, nikawaza unamengage ray c na wewe kila siku unamsifia mai waifu wako mganda kwakweli hii post ilikuwa hainiingii kichwani......... heheheehe well done utawapata wengi
ReplyDeleteBALOOOZIII, 1st ARPIL FOOLS DAY
ReplyDeleteMheshimiwa Balozi Michuzi, kweli Fools Day umekuja kivingine kabisaaaa.Hiyo imetulia kabisa.
Mbona Fulanaz umeiacha kwenye kukumbumbu "uchumba" wako?
MAKULILO Jr,
www.makulilo.blogspot.com
Mbona huyu mume mtarajiwa ni kama kaka Michu au mtarajiwa ni mdogo wako Michuzi kwa hiyo unavisha pete kwa isani yake kama zile mila zetu za naniii....aha aha
ReplyDeletemkuu wa wilaya ya nanihino kajishindia kitu bomba, Mabrooki!
ReplyDeleteWe kaka michuzi hebu usitudanganye sisi, we are not fool at all, hujamuengage Ray C wala nini, wajinga ndio waliwao hahahahahahahah nimekushtukia mapema
ReplyDeletefool's day
ReplyDeleteHongera bi mdogo,
ReplyDeleteLakini hizo show atazifanyaje na hilo tumbo? si asubiri atotoe kwanza.
WAJINGA NDIYO WALIWAO!!
ReplyDeleteApril Fools Day???????????
ReplyDeleteProsso!
Acha kutuyeyusha bwana!
ReplyDeleteteh teh, kaka mithupuuuuuuu, utawakamata wengi, ila mimi nimegundua, teh teh
ReplyDeletemichuzi mambo ya ukweli au ndio siku ya wajinga?
ReplyDeletehuyu ni michuzi au macho yangu ni kama ya "liatonga"
ReplyDeletehahahahaha Hapyy AprilFool Michudhi.. kwikwikwikwi
ReplyDeleteha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeletekaka michuzi Hon'''''geraaaa. lakini mi nimeishtukia hiyo. hajavishwa mtu pete hapaaaa.Ukiangalia kwa makini slide ya pili, utaona jinsi mzee wa fulanaaaaazzzz alivyomfinya kidole bibie Rehema. Anyway ni part ya celebrations za April f...s.
chiggs hapaaa.
DUUU!! ANAYEMVALISHA PETE KAFANANA NA MICHUZI KOPILAITI. KAMA NI MICHUZI WALAI TENA NAKUNYWA SUMU MAANA MIMI NILIKUWA NAMPENDAGA SANA LEISII SASA KITENDO CHA KUOLEWA NA MTANI WANGU KITANIUMIZA SANA. MUNGU EPUSHIA MBALI HII ZAHAMA YA MOYO WANGU
ReplyDeletehaaa jamani au machoyangu hayajatambua vizuri huyo mwanaume sio MICHUZI WA ISSA? na kama ndie alikuwa hajaoa? na kama alikuwa ameoa wameachana na mkewe? na kama hawajaachana anaongeza mke mwingine? na kama majibu yote yatakuwa ndio,MICHUZI HUTOKUWA UMENIFURAHISHA.
ReplyDeleteJamani mbona anaevisha pete kama Nanii ...au macho yangu??Ngoja niangalie vizuri.
ReplyDeleteHeeh! Huyo anayemvisha pete mbona kama amefanana na Michuzi vile? Mzee ni wewe nini?
ReplyDeleteYaani wewe Michuzi ulitakiwa uwe ZE KOMEDI, Kwa hiyo wewe ndiyo unataka kukitwaa hicho kifaa yaani ndiyo my husband wa Ray C.
ReplyDeleteSielewi!!!!!
Kaka Mithupu huyo mtarajiwa mwingine ni wewe au mmefanana??? Kama ni wewe hongera yakhe!!
ReplyDeleteMichuzi, Wakamate wajinga wenzako sisis tumeshakustukia leo ni siku ya wajinga-Nick
ReplyDeleteKidogo unipate Bro Michuzi!!
ReplyDeleteMchumba wa Ray C si Lord Eyes jamani?
It must be part of celebrating April Fools Days!
Hahahahahaa.....Hongera Michuzi anyways,
Niqwa
April fools day ya'll. Don't get fooled!!!
ReplyDeleteHAPPY FOOLS' DAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletehappy aprils fools day.. mhh michuzi hapo kweli umetuweza..lol
ReplyDeleteLEO NI SIKU YA WAJINGA.HIVYO WEWE MICHUZI USITUZINGUE NA HIZO PICHA ZAKO ASANTE.
ReplyDeleteehehehehhehe!
ReplyDeleteMichuzi usitufanye sisi wajinga..acha tukuwahi...Happy April Fools Day!
Its April fools you fool. Hujatupata hata kidogo.
ReplyDeleteWe Michuzi we. Mtarajiwa ni huyo mwenye shati jeupe lenye mistari mistari?
ReplyDeleteMbona anafanana na wewe kopirait!?!
Sio wewe Michuzi huyo kweli!?
Halafu huyu Rei Sii si alikupigaga marufuku kutoa habari na picha zake humu kwenye bulogi yako?
Mmmepatana siku hizi? Mweeh!
April fool's, humpati mtu hapa issa michuzi, Pete gani kidole kitupu.
ReplyDelete"SweetypiE"
Teh teh teh....Mkuu wa Wilaya ya Nanihii, mbona pete yenyewe haionekani? Hapo bwana hammpati mtu...leo ni sikukuu ya wajinga!!
ReplyDeleteMichuzi umemchumbia Ray C au huyo bwana harusi mtarajiwa ndugu yako?
ReplyDeleteApriL Fools!
ReplyDeleteMisupu hata wewe unataka kuturusha wanguuuu...hahah April Fools hiyo! Lakini bado kidogo unikamate...ila nilivyoona Sura yako ikabidi nicheke saana!!
Thanks for burudisho hili!! Lakini wewe bado *UpoUpo* ... We endeleza Mikonoz tu...
Mdau wa Ohio....
SHIIIIIIIIIT KUMBE LEO NI TAREHE1 APRIL.
ReplyDeleteNo no nimeshtukia kaka mithupu April's Fools Day, duh! mshikaji umenipata, asubuhi asubuhi.Basi utajidai.
ReplyDeleteKweKwekweeeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteWajinga Ndio waliwao.
Fool who ??? fool yourself...
ReplyDeleteApril Fool....lol.
ReplyDeletebwana mithupu, hiyo ni fools day!!!!! hahahaaaaaaaa!!!!!. Good idea!!!!!!
ReplyDeleteKaka mithupu nimeshtuka kidogo nizimie but nimekumbuka leo ni siku ya wenye akili sana a.k.a genious
ReplyDeleteHongera Ray C na mchumba wako! Jamani huyo mchumba mbona kama ni mkuu wa wilaya ya nanihii?!! Au macho yangu?!
ReplyDeleteLeanji
Jamani ni macho yangu yameanza kuzeeka na kushindwa kutambua watu nini? Huyo kama Mkuu wa wilaya ya nani hii!! Au braza wake kama siyo pacha wake.
ReplyDeleteMbona huyu bwana anafanana na nanihii...
ReplyDeleteshemeji anafanana na mkuu wa wilaya ya nanihii au naoana vibaya. Kama kwelei ni mkuu wa wilaya big up and hongera
ReplyDeletetehetehe michuzi hujanipata bado.
ReplyDeleteKwa kweli Michuzi unajua kupata watu siku hii ya wajinga, huyo anayevalishwa pete sio RayC, ni yule dada anayefanana nae
ReplyDeleteHivi leo ni tarehe ngapi vile?
ReplyDeleteSiku ya wajinga leo, so tuwe makini na habari tunazozisoma.
ReplyDeleteSiku ya wajinga leo, so tuwe makini na habari tunazozisoma.
ReplyDeleteMmh Michuzi, mimi hujanipata, hii siyo April fool's day kweli?
ReplyDeletewajinga ni nyie nyie
ReplyDeletewajinga ni nyie nyie
ReplyDeleteMmh Michuzi, mimi hujanipata, hii siyo April fool's day kweli? Hiyo pete ungefunika funika hivyo?
ReplyDeleteMH.Balozi huyo pacha wako au umempatia shemeji yetu msaidizi,tunashukuru kutukumbusha leo ni happy fools day kazi njema huko nyumbani.
ReplyDeletekaka hili bonge la changa la macho yaani umetushika pabaya. Yaani kama ni kweli basi hii imekaa vibaya. lakini mbona umegandamiza tu siioni pete? Duhh kaka hii hatari
ReplyDeletewe michu sisi sio wajinga hiyo ni april fool wala hujamvisha pete ray c kwanza hapo ni kama unamvisha vidole hata hakuna picha. lakini mshkaji umebuni vizuri.
ReplyDeleteoya huna ubavu wa kumvisha pete huyo
ReplyDeleteYou almost had me fooled there...
ReplyDeleteApril Fools Day, Umewapata kweli Michuzi...!!!!
ReplyDeleteFinally Ray C makes a come back on globu ya jamii.
ReplyDeleteNakumbuka Michuzi uliwahi kumdiss huyu demu baada ya kuleta shobo.
Michuzi kumvalisha pete tu hadi jino la 32 linaonekana!!!
ReplyDeleteUngekua umevaa ze fulanaz ningekubali!
ReplyDeleteKwakweli brother Michuzi hapo umenipata. Du, mhhh!!! Nakupa tano. Hata hivyo namtakia RAY C safari njema ya UK. Japo ni fools day, umemtakia dada yetu RAY C mambo mazuri.
ReplyDeleteGood day
Ohhoooo wajameni naona blog imeingiliwa na kirusi.
ReplyDeleteSasa hii ni dalili kuwa blog yetu itafungwa maana shemeji yetu mkubwa hawezi kukubali UPUUZI huu, na hivyo lazima aombe kugawana mali ikiwamo na blog.
Nalilia blog jamaniiiiii.....
Mdau China
Idumu ndoa hii.nilijua tu we na Ray C kuna kitu kinaendelea.ha ha haa! Michuzi we kiboko!
ReplyDeletethubutuuuuuuuuuuuuuuuu, kama mtoto wako wa kike hakumtoa macho, he he he kweli leo SIKU YA WAJINGA.
ReplyDeleteMdau Davey Road
Ingawa umepatia sababu ya kukumbatia kiana na April fool Hongera mkuu wa wa Wilaya ya ...hapo unakula kitu mwanangu!!!
ReplyDeleteMithupu humpati mtu leo ni 1.april. Umelala nacho
ReplyDeleteI can't believe I was caught up in the Tegeta position. Was it on April fools' day too. Oh, dear...I have since believed he is the Tegata head despite posting a comment once wondering when he works for the district - which, for obvious reasons, was not published. He wasn't gonna catch me on the Ray thing, though, as I could clearly see it was him and as someone pointed out above - she is probably too posh...(or is she?)
ReplyDeletegood try michuzi boy!
ReplyDeletehappy fool dai
regards
yes it is fools dei lakini mnapendeza
ReplyDeleteMdau
Kijitonyama
NAONA MKUU WA WILAYA YA NANIHII UNAPIGA CHABO KWA CHATI HAPO KIFUANI,, MTOTO NDIE HUYO KILA IDARA ANALIPA.. Tehe tehe tehe tehe kwi kwi kwi kwi…..
ReplyDeleteMdau UK
Unamtakia mafanikio mema bibie labda atapata mtu wakumuweka ndani siku za mbeleni.Au ongea na mama nanihii akuruhusu uoe mke wa pili ahahahahahah.Angalia tu asije kutupa nje na the Fulanaazzzzzz
ReplyDeleteMsema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi hii ngoma nilipotea, ikabidi mpaka niikuze picha ili kuhakikisha kama ni Michuzi. Da! Nimepatikana vibaya kweli. shehe lakini kifaa moto hiki.
ReplyDeleteZiingize kweli kweli basi mzee mwenzangu, who knows!
ReplyDeleteHivi nini maana ya mjinga na mpumbavu?? Happy Fools Day.
ReplyDeleteMmmmmh!Jamani,Ray C bado wamo,bado anadai!So be very carefull,usije ukaukwaa Mkenge dada!Wengi watakupapatikia,lakini uwe makini,kila kin'gaacho si dhahabu.You still have all the future ahead of you babygirl,you haven't seen a mm of the world yet!Na kwako michuzi,hongera yahe japo kwa huo mnuso na kubahatika kumvisha pete ya uchumba huyo SisterDo wetu,kweli 'UMEBAHATIKA',Mungu akupe nini?akupe tende? Hatujui yaliyojiri baada ya Hafla hiyo!Ray C kama bado unahitaji mchumba wa Kilo basi nitafute mie "Mr.Anonymous",naahidi nitakufikisha!Adios.
ReplyDeleteHey Michuzi, siyo wewe kweli kwenye hiyo picha?
ReplyDelete