

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mkimtafsiria nani??
ReplyDeletemana hamjasema kama ulikuwepo ugeni wa ao wazungu wa ki-norway
jamani!!!
aya yote mema
Hongera watanzania wa trondheim.Sherehe ilifana sana ilijumuisha mataifa mbalimbali kusherekea nasi.Udumu muungano!
ReplyDeletePongezi watu wa Trondheim, inaelekea mnaushirikiano mzuri na ubalozi pamoja na wenyeji wenu.
ReplyDeleteMdau Uholanzi
jamani ndugu yangu huyu Mwevi Mwilima ambaye naye yuko Trondheim naomba tuwasiliani south_exposed@yahoo.com
ReplyDeleteDah...nimefurahi sana kumuona mkuu Yusuf Mndolwa akiwakilisha. Long time man....tulikuwa wote kwa baba Peter Naali enzi zile za 1990's.
ReplyDeletePhatlorenzo--MN
New York tuwekeeni picha zenu tuone mlivyosherehekea Muungano.Natumaini ilifana sana.
ReplyDeleteKweli miaka imekwenda!nakuona mkuu Yusuph Mndolwa,,,Unanikumbusha enzi zile za msoto wa shule na chips dume kaba koo,,,nafurahi sana kuona unapeperusha bendera kaka,,
ReplyDeletemdau E.Kalankalia
Ivory Coast
Mdau E.Kalankia.Maisha ndio hivyo tena Wengine hupasi maisha na wengine hufeli maisha.Hatukuja kulingana.Lakini usikate tamaa ya maisha.Kila la heri.Mgeni wetu alikuwa very social hana makuu yaani wa Tz wote hapa Trondheim tulifurahika nae.Kiongozi anatakiwa hivyo.Mungu ambarikie na kazi yake na maisha yote kwa ujumla.
ReplyDeleteabdu-the-walker ii
ReplyDeletePhatlorenzo umenikumbusha mbali sana.
Wako wapi wakina Daudi darabe,Alexander Isack aka culture,Isaya luck,Juma mgoma,Mzirai,Tumaini Mruma,Clert Hangali na wengine wengi 1991 to 1994.
Wako wapi walimu,Sikay,Kimaro aka dubu,JB Mbuya,aka jitu baya,Sighis na wengineo
Sidhani kama mbegu zinaendelea kutayarishwa milimani na kuliwa.
Wapi mnyenye.Disco la kufunga shule na ujio wa mabasi ya Suleimas.
Mabweni ya maendeleo,mapinduzi na mwongozo.
Hakika ilikuwa imetulia sana.