Katikati ni mgeni rasmi Mwakilishi wa balozi wetu Ndugu Yusufu Mndolwa, kushoto ni mdau Richard Rwechungura na Kulia ni mwenyekiti wa watanzania waishio Trondheim mzee Francis Chagula.
Mgeni rasmi Ndg Yusufu Mndolwa akitoa nasaha na salaam kutoka ubalozi wa Tz Scandnavia wakati mwenyekiti Tanzania Trondheim Club akitafsiri kwa lugha ya Kinorway(Norsk).
Wadau wakiwa wanaselebuka muziki wa kwetu. Mambo yalikua mswano



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. mkimtafsiria nani??
    mana hamjasema kama ulikuwepo ugeni wa ao wazungu wa ki-norway

    jamani!!!

    aya yote mema

    ReplyDelete
  2. Hongera watanzania wa trondheim.Sherehe ilifana sana ilijumuisha mataifa mbalimbali kusherekea nasi.Udumu muungano!

    ReplyDelete
  3. Pongezi watu wa Trondheim, inaelekea mnaushirikiano mzuri na ubalozi pamoja na wenyeji wenu.
    Mdau Uholanzi

    ReplyDelete
  4. jamani ndugu yangu huyu Mwevi Mwilima ambaye naye yuko Trondheim naomba tuwasiliani south_exposed@yahoo.com

    ReplyDelete
  5. PhatlorenzoApril 28, 2009

    Dah...nimefurahi sana kumuona mkuu Yusuf Mndolwa akiwakilisha. Long time man....tulikuwa wote kwa baba Peter Naali enzi zile za 1990's.
    Phatlorenzo--MN

    ReplyDelete
  6. New York tuwekeeni picha zenu tuone mlivyosherehekea Muungano.Natumaini ilifana sana.

    ReplyDelete
  7. Kweli miaka imekwenda!nakuona mkuu Yusuph Mndolwa,,,Unanikumbusha enzi zile za msoto wa shule na chips dume kaba koo,,,nafurahi sana kuona unapeperusha bendera kaka,,
    mdau E.Kalankalia
    Ivory Coast

    ReplyDelete
  8. Mdau E.Kalankia.Maisha ndio hivyo tena Wengine hupasi maisha na wengine hufeli maisha.Hatukuja kulingana.Lakini usikate tamaa ya maisha.Kila la heri.Mgeni wetu alikuwa very social hana makuu yaani wa Tz wote hapa Trondheim tulifurahika nae.Kiongozi anatakiwa hivyo.Mungu ambarikie na kazi yake na maisha yote kwa ujumla.

    ReplyDelete
  9. abdu-the-walker ii
    Phatlorenzo umenikumbusha mbali sana.
    Wako wapi wakina Daudi darabe,Alexander Isack aka culture,Isaya luck,Juma mgoma,Mzirai,Tumaini Mruma,Clert Hangali na wengine wengi 1991 to 1994.
    Wako wapi walimu,Sikay,Kimaro aka dubu,JB Mbuya,aka jitu baya,Sighis na wengineo
    Sidhani kama mbegu zinaendelea kutayarishwa milimani na kuliwa.
    Wapi mnyenye.Disco la kufunga shule na ujio wa mabasi ya Suleimas.
    Mabweni ya maendeleo,mapinduzi na mwongozo.
    Hakika ilikuwa imetulia sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...