Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kama sikosei mwezi huu tarehe 12 EDWARD MORINGE SOKOINE ALITUTOKA NAKUMBUKA NILIKUA NDIYO NIMEANZA SHULE JAMANI!
    PUMZIKA KWA AMANI NYOTA WETU PENGO LAKO HALIWEZI ZIBIKA

    ReplyDelete
  2. Mi ni MTZ mwenzenu nipo hapa ST-JEAN kimasomo.Bro Michuzi naomba Contacts za hawa Watanzania wenzangu ili tufahamiane maana kila wiki natia timu hapo Montréal.

    ReplyDelete
  3. WAZEE WA BONJOUR HUKO MONTREAL NAONA MAENDELEZA LIBENEKE, I AM SO PROUD OF YOU. TAFADHALINI MSIKATE TAMAA, HAKUNA MWANZO RAHISI. ENDELEZENI MSHIKAMANO.

    ReplyDelete
  4. ANONYMOUS WA 1:08AM NAMBA ZA SIMU 4 ZIKO KWENYE TANGAZO, HALAFU WEWE UNAMWOMBA MICHUZI AKUPE CONTACTS? HATA SIKUELEWI.

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi habari za kazi,Mimi ni MTZ naishi hapa Calgary naomba kujua kama kuna Tanzania Community hapa.kama kuna anayejua naomba aweke contact zao hapa kwa michuzi.Asanteni sana.Coco.

    ReplyDelete
  6. montreal tupo pamoja, contact ni rahisi kupatikana, kwingine vigumu sana, tunagharamia wenyewe.

    ReplyDelete
  7. wakati wa baridi usafiri ni mgumu sana, na snow, inabidi kujikaza si unajua nchi za baridi hizi, kila kitu tunalipa wenyewe shukrani michuzi.

    ReplyDelete
  8. shukrani michuzi naona 514,rahisi kuingia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...