WAZIRI WA EKIMU NA MAFUNZO YA AMALI, MH. HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MKUU WA KITENGO CHA SAYANSI WA ZANZIBAR COMMERCIAL COLLEGE, SALEH MOHAMED JUMA. MSAADA HUO UMETOLEWA NA VODACOM FOUNDATION.
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, MH. HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MKUU WA KITENGO CHA SAYANSI WA ZANZIBAR COMMERCIAL COLLEGE, SALEH MOHAMED JUMA. MSAADA HUO UMETOLEWA NA VODACOM FOUNDATION.
WAZIRI HAROUN ALI SULEIMAN AKIKABIDHI KOMPYUTA KWA MWALIMU MKUU WA SHULE YA SEKONDARI YA HAMAMNI YA MJINI ZANZIBAR, MSHENGA HAJI ABBASI. MSAADA KUTOKA VODACOM FOUNDATION.
MKUU WA VODACOM FOUNDATION, MWAMVITA MAKAMBA AKIKABIDHI MOJA YA KOMPYUTA KWA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, MH. HAROUN ALI SULEIMAN
WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA HAMAMNI YA MJINI ZANZIBAR WAKIMSIKILIZA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI, HAROUN ALI SULEIMAN KWENYE SHEREHE YA KUPOKEA MSAADA WA KOMPYUTA KUTOKA VODACOM FOUNDATION SHULENI HAPO. HII NI SEHEMU YA KAMPENI YA VODACOM TANZANIA KATIKA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU NCHINI AMBAPO IMETENGA JUMLA YA SH.MILIONI 58 KWA LENGO HILO.
huu kweli usanii yaani wameshindwa hata kutoa viti wanavokalia madarasani wanaaenda kukaa chini, km hakukuwa na taarifa ya ugeni
ReplyDeletemdau wa juu makutoa viti nje hizo ni siasa za kipindi cha TANU,mwingine atauliza maua mbona siyaoni. hakuna mambo ya kutukuza wageni hapa
ReplyDeleteNA HAO VODA WANATOA MA CRT 2009 HII ILI IWEJE? AIBU...
michu bwana wakati mwengine unanifurahisha sana. ona picha ya mwanzo na ya pili wanaokabidhiwa pc ni watu tafauti lakini wanawadhifa sawa na hata majina yao ni sawa. halafu icha ya pili na ya tatu alanekabidhiwa ni mtu huyo huyo lakini ana wadhifa mbili tafauti na majina tafauti pia! ha ha ha ha ha
ReplyDeletewe unayeuliza hawana viti wamekaa chini umeshaona shule za ulaya watoto wa vidato vya chini wanakalia viti? hawakalii viti sababu viti vinaleta uvivu sana kwa watoto hawakawii kusinzia darasani. tembea uone usingoje kuambiwa.
ReplyDeleteHata mie naunga mkono na Kuhusu Viti hayawahusu wageni wao siwamekuja kutowa msaada uonekane tuoeni tu bila kutangazia. huyu mwalimu wa kiume mbonam kono nyuma kwa huyo Sister? taratibuni jamani hahaha subiri wakati uishe.
ReplyDeletehalafu watu wengine hamuoni yakusema hayoo unaliyotowa wewe ya 2011 yako wapi wee mdau hapo unaesema voda wametoa CRT 2009.saa ingine kama huna lakuchangia bora ukae kimyaa kuliko sema pumbaa.blood hell
ReplyDeleteHuyu Binti Makamba anajua kwenda na wakati. Mwezi wa Ramadhani huvaa hijabu. Miezi mingine kichwa waaziii kama Flaviani Matata.
ReplyDeleteMARA YA MWISHO NILIPO CHEKI, WAZIRI WA ELIMU ALIKUWA PROF. JUMANNE MAGHEMBE, SIO HUYO ULIYEMSEMA HAPO.
ReplyDeleteNA YALE MAAFA YA MBAGALA SIO "LIBENEKE LA MABOMU," NI JANGA, NI AJALI ILE. HESHIMU KWA LUGHA NZURI.
WEWE MWANDISHI KITAMBO, MBONA HIVYO WEWE?
HATA USIPO POST COMMENT ZANGU KAMA KAWAIDA YAKO, NAJUA UJUMBE UNAFIKA, MIMI NAKUUA HUKU HUKU CHEMBA TU.
wewe aghalibu nawe waziri waelim wahapa ni wazanzibar sio wa tanzania nzima
ReplyDeleteiyo pic ya nne kutoka juu huyo jamaa mkono wake wa kulia mmeuona vizuri. nna hakika hana nia mbaya taswira tuu izo
ReplyDelete