Mkuu mpya wa wilaya ya Ukerewe Mh. Queen Mulozi Mashinga akila kiapo kwa mkuu wa mkoa wa Mwanza Dkt. James Msekala
Mkuu mpya wa wilaya ya Kwimba Ryoba Christopher Kangoye naye akila kiapo.
Baada ya kula kiapo wakuu hao wapya wa wilaya za Mwanza katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa huo Dk. James Msekela. Kulia ni mkuu wa wilaya mteule wa karagwe Mh. Angelina Mabulla ambaye alikuja kushuhudia kiapo cha wenzake kabla ya kwenda naye kula kiapo chake huko mkoani Kagera. Picha na mdau Frederick M. Katulanda
Kazi nzuri JK, madaktari watumiwe hivyo, endeleza libeneke.
ReplyDeletewatu wa mwanza bwana.,..utawajua tu
ReplyDeletemkuu usinibanie
Michuzi mimi ni mdau wa Blogu yako wa siku nyingi mno, nakumbuka mwaka jana ulitutangazia umetunukiwa ukuu wa wilaya ya nanihii (teget) Sasa kwanini hukutuwekea picha za kuapizwa kwako? au ndio hukuweza kujipiga picha menyewe?? Ahmed basi angekamilisha zoezi... tehe tehe tehe
ReplyDeleteukiwatumia wananchi kwa wote wako wote hakika Mwenyezi Mungu..hakutupi.
ReplyDeleteMama Mlozi ni mfano wa kuiga kwani alikuwa akifanya kazi kwa moyo wa upendo toka pale chuo cha ualimu Morogoro afu DED-morogoro.
tena sio kwa wafanyakazi tu hata wasio wafanya kazi wa sehemu hizo.
Mama udumu...
MAMA UKIFIKA NYUMBANI UKEREWE, NENDA KAWAONE WAZEE UKAJITAMBULISHE KWA HESHIMA NA TAADHIMA, NA UFANYE WATAKAYO KWAMBIA
ReplyDeleteHongera sana mpendwa wangu Mh.Mabulla mungu akusimamie na kukuongoza kwenye majukumu yako mapya. ni siku nyingi sana hatujawasiliana nawe.
ReplyDeletemimi ninachotaka kucomment tu ni kwamba akina dada zetu inabidi waache ulimbukeni wa kudhani nzwele za kizungu ni deal... nimezipenda sana nywel za huyu mama Mabula, sijui kwa nini wadada wetu wanapenda kuvaa mawigi feki ya nywel za kizungu...huwa nikimuona mdada mweusi amevaa wigi huwa najisikia kichefuchefu mpaka basi...
ReplyDeletehalafu kwa experience yangu sijawahi kuona kama wanapendeza na hayo mawigi...coy it's so unreal...waangalie mfano wa akina mama kama mongella, asha rose migiro, mama Tibaijuka na huyu...
halafu wazungu huwa wanawacheka kishenzi, coz u prove to them that u don like ur ethnicity and u want to be them...arrant nonsense!!!
emergencypoison
we anony wa 5.48pm kwa taarifa yako hata wazungu wenyewe wanavaa mawig sasa hicho kichefuchefu chako sijui kitazidi au kupungua,hiyo unajua wewe ila habari ndio hiyo!!!
ReplyDeleteAha!
ReplyDeleteHivi huyu Mh. Queen ndio yule wa idara ya Elimu Morogoro? Mke wa Prof. Mlozi? Mama yake Shogo na Nsolo. Hongera Mama, mimi ni wa SUA. Tumecheza na Nsolo utotoni, Shogo uko wapi?
Mdau UK
we anony wa 2:01 suali ni kwamba,ulishaona wazungu wanavaa mawig ya afro?...acha kutetea ujinga..
ReplyDelete