KANISA LA CATHEDRAL OF PRAISE WASHINGTON METRO AREA,
LINAWAKARIBISHA WOTE KATIKA IBADA YA SIKUKUU YA PASAKA 
NA BAADAE CHAKULA CHA MCHANA 
JUMAPILI TAREHE 12 APRIL SAA 11:00 AM
 
                                ADDRESS NI 5311 43RD AVENUE,
                                               HYATTSVILLE MD 20782
 
KWA MAELEZO ZAIDI NA MUONGOZO WA JINSI YA KUFIKA 
SIMU:
301 957 0009
 AU 
571 201 4635
 
                     KARIBUNI TUJUMUIKE PAMOJA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tuje na chalula au pombe au sadaka?
    Shukran kwa ukarim
    atoaye huongezewa atafutaye hupata
    mgeni hafaidi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...