Yanga baada ya kutawazwa kuwa mabingwa mara ya pili mfululizo wa vodacom premier league. Mchezaji Mrisho Ngasa aliyekuwa London kwa majaribio anaonekana mbele kulia
Kombe la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Mkurugenzi wa Idara ya Maelezo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko(kulia)akimkabidhi Kombe la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara,Kapteni wa Yanga Boniface Ambani(kushoto)na katikati ni Meneja Udhamini wa Vodacom Tanzania ambao ni wadhamini wa Ligi hiyo Emillian Rwejuna
Warembo wakiwa wamebeba medali na kombe la Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara tayari kwa kuwakabidhi mabingwa wa ligi hiyo hapo yanga African hapo jana.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. NADHANI SIMBA NDIYO ILIYOSTAHILI KUPEWA KOMBE KWANI WAO NDIO WALIKUWA WAKISHINDANA KUGOMBEA NAFASI, YANGA ILIJILIMBIKIZIA POINTI NYINGI SANA ZISIZO NA SABABU NA KUWAFANYA WASIWE WASHINDANI HIVYO WALISTAHILI KUWA WAMEJITOA KATIKA MASHINDANO. KITENDO CHA YANGA KUJILIMBIKIZIA POINTI HAKISTAHILI KUVUMILIKA KATIKA USHINDANI WA HAKI.

    ReplyDelete
  2. go go yanga big up.wapinzani utawajua tu hawana jema.u deserve to win yanga.simba hamkukatazwa kujilimbikizia point so maneno ya nini?

    ReplyDelete
  3. waungwana mambo ya ngasa yamiishia aje,mkuu ukitoa taarifa ya jambo mbasi utupe na mwisho wake,je ndugu yetu kapata tim?

    ReplyDelete
  4. Mimi huyo Anon wa kwanza simuelewi,anaposema YANGA imejilimbikizia pointi anajua maana ya soka kweli? SOKA la kweli ndio hilo wapinzani wakijisahau unapiga hata goli kumi.SIMBA walikuwa wapi wakati WANAUME wanajilimbikizia pointi? Wao wamekumbuka SHUKA wakati KUMEKUCHA walie tu! Watu wa PWANI tunasema wamekubuka TOTO wakati MCHUZI umekwisha. Au amesahau Simba alivyokuwa anapigwa bao karibu kila mechi ktk laundi ya kwanza? Eti wapewe KOMBE,kwani hujui kwamba "Mshindi wa pili ni MSHINDWA wa kwanza" YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
    TIKA(THE KOP)
    ST-JEAN
    CANADA

    ReplyDelete
  5. Si vibaya kujitangaza hadharani wewe ni mnazi wa timu gani (kama tu anavyofanya mkuu wa wilaya ya nanihiii na bwawa lake la maini). Jamani mimi ni mnazi mkubwa wa vijana hawa wa Jangwani...kuchukua kwao ubingwa tena kunanifanya nijione kuwa sikukosea ati kuizimikia timu yangu hii toka nikiwa mdogo!HONGERENI VIJANA WA JANGWANI!sasa kazi moja tu katika michuano ya nje ijayo!

    ReplyDelete
  6. Tatizo kubwa la Yanga ni kwamba kwenye mashindano ya Kimataifa kufika hata robo fainali ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu! Kama mnabisha subirini! Hongereni Yanga!

    ReplyDelete
  7. Baba UbayaApril 28, 2009

    nimefurahi kuona cku hizi wanatoa hadi medali.hiyo ni safi kwa wachezaji kuwa na kumbukumbu kuliko zamani kwani kumbukumbu ilikuwa ni kutunza pix na vipande vya magazeti.haha

    ReplyDelete
  8. Kweli Michuzi mbona hamleti data juu ya Ngassa.Unasema alikuwa Ulaya husemi matokeo.Hata kama hajafanikiwa poa tu.Maana kuna wengi wanakosa hata hiyo nafasi ya kufikiriwa kwenda ktk mazoezi.Tuwekeeni ukweli tuujue.
    NIpo 100% kusupport wabongo wenye vipaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...