Home
Unlabelled
yanga oye!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
NADHANI SIMBA NDIYO ILIYOSTAHILI KUPEWA KOMBE KWANI WAO NDIO WALIKUWA WAKISHINDANA KUGOMBEA NAFASI, YANGA ILIJILIMBIKIZIA POINTI NYINGI SANA ZISIZO NA SABABU NA KUWAFANYA WASIWE WASHINDANI HIVYO WALISTAHILI KUWA WAMEJITOA KATIKA MASHINDANO. KITENDO CHA YANGA KUJILIMBIKIZIA POINTI HAKISTAHILI KUVUMILIKA KATIKA USHINDANI WA HAKI.
ReplyDeletego go yanga big up.wapinzani utawajua tu hawana jema.u deserve to win yanga.simba hamkukatazwa kujilimbikizia point so maneno ya nini?
ReplyDeletewaungwana mambo ya ngasa yamiishia aje,mkuu ukitoa taarifa ya jambo mbasi utupe na mwisho wake,je ndugu yetu kapata tim?
ReplyDeleteMimi huyo Anon wa kwanza simuelewi,anaposema YANGA imejilimbikizia pointi anajua maana ya soka kweli? SOKA la kweli ndio hilo wapinzani wakijisahau unapiga hata goli kumi.SIMBA walikuwa wapi wakati WANAUME wanajilimbikizia pointi? Wao wamekumbuka SHUKA wakati KUMEKUCHA walie tu! Watu wa PWANI tunasema wamekubuka TOTO wakati MCHUZI umekwisha. Au amesahau Simba alivyokuwa anapigwa bao karibu kila mechi ktk laundi ya kwanza? Eti wapewe KOMBE,kwani hujui kwamba "Mshindi wa pili ni MSHINDWA wa kwanza" YANGA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!
ReplyDeleteTIKA(THE KOP)
ST-JEAN
CANADA
Si vibaya kujitangaza hadharani wewe ni mnazi wa timu gani (kama tu anavyofanya mkuu wa wilaya ya nanihiii na bwawa lake la maini). Jamani mimi ni mnazi mkubwa wa vijana hawa wa Jangwani...kuchukua kwao ubingwa tena kunanifanya nijione kuwa sikukosea ati kuizimikia timu yangu hii toka nikiwa mdogo!HONGERENI VIJANA WA JANGWANI!sasa kazi moja tu katika michuano ya nje ijayo!
ReplyDeleteTatizo kubwa la Yanga ni kwamba kwenye mashindano ya Kimataifa kufika hata robo fainali ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu! Kama mnabisha subirini! Hongereni Yanga!
ReplyDeletenimefurahi kuona cku hizi wanatoa hadi medali.hiyo ni safi kwa wachezaji kuwa na kumbukumbu kuliko zamani kwani kumbukumbu ilikuwa ni kutunza pix na vipande vya magazeti.haha
ReplyDeleteKweli Michuzi mbona hamleti data juu ya Ngassa.Unasema alikuwa Ulaya husemi matokeo.Hata kama hajafanikiwa poa tu.Maana kuna wengi wanakosa hata hiyo nafasi ya kufikiriwa kwenda ktk mazoezi.Tuwekeeni ukweli tuujue.
ReplyDeleteNIpo 100% kusupport wabongo wenye vipaji.