Home
Unlabelled
afisa wa tra feki abambwa dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bwana Michuzi hiyo taito yako ya hii habari umekosea.
ReplyDeleteKwa jinsi ilivyo "Afisa wa TRA feki..." inaonyesha kwamba kilicho feki ni TRA na sio Afisa.
Ili kuonyesha kwamba ambae ni feki ni Afisa taito ingekuwa
"Afisa Feki wa TRA......"
Perez, I love that. Good grammar...
ReplyDeleteMdau hapo juu nina hakika hata wewe si mkamilifu. Kitu cha kujali ni kwamba ujumbe umekufikia.
ReplyDeleteHuyu afisa feki kwani hao watu anaowaendea huwa hawamuulizi kitambulisho? Au anacho kitambulisho feki pia?
watu wengine mna comment za kikuda sasa unadhani kama mtu ukishaambiwa ni afisa feki, maana yake ana makaratasi na vitambulisho feki pia..
ReplyDeletekwani nini maana ya afisa(officer)?
maanake mtu mwenye kazi yenye kutambulika(inahitaji utambulisho = ID) huwezi kuwa afisa halaf ukawa unauza gongo au wewe ni mangi 24/7
toka lini Perez akajua kiswahili wakati jina lenyewe la kihispania?
ReplyDeleteIli mradi umeupata ujumbe mambo baabkubwa hatujali grammar hili siyo darasa la nahau na methali.. au misamiati..
au vitendawili
au nomino..
au vitenzi..
thanks perez kutujuza kiswahili fasaha. wadau marekebisho ni muhimu watu viswahili vigumu afu hamtaki kukosolewa
ReplyDelete