Home
Unlabelled
Ali Kiba achengua wadau Columbus, Jumamosi atakuwa Los Angeles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu dogo tangu aanze shoo za nje ni miezi sasa!!! germany, italy, sweden, holland na sasa US. hivi analipwaje??? manake Ray C karusha madongo kuwa hawa jamaa wanakwenda nje kwa bei ya kujidhalilisha na kudhalilisha bongo fleva!!! eti wanakubali shoo kwa $300 ili mradi tu wamekwea pipa.
ReplyDeletewadau mlioko majuu huko hebu tupeni data!! madai ya Ray C yana ukweli wowote?? ni kweli wanalipwa dola 300 kwa shoo???
Ahsanteni
MACMUGA
Hivi McMuga hujawahi kuja majuu?, $300 ni kiingilio cha mtu mmoja kwenye shoo, hata kama wangelipwa kidogo haiwezi kuwa hiyo, mi naona RayC mzushi tu, au labda yeye hakupata soko zuri. Alikiba anatengeza fweza kwa wingi Mazee.
ReplyDeletemimi mtazamo wangu ni kukubalika, hivi kama anapata mialiko miezi sita nje maana yake mziki wake ni mzuri na anawapenzi wengi, inakuwaje hapati KILI AWARDS? au hizi tuzo ni kwa watoto wa THT tu? kweli mfalme hakubaliki kwao
ReplyDeletewe mtoa maoni wa kwanza unaonekana ni aina fulani wa mahaters , hauna mpango wowote , utabaki hivyo hivyo na kashfa zako mbovu , swala la kipato cha mtu ni kitu nyeti katika maisha ya mtu , kwani hata kama anapata dola 50 kwa shoo kama ye mweyewe karidhika basi haimuhusu mtu yeyote , kwani kila mtu ana style yake ya maisha , we unapata kiasi gani kwani ?
ReplyDeleteALİ KİBA No 1
KEEP İT UP
TUNAKUFAGİLİA MWANA !!!!!
Sawa kbs mdau uliyetoa comment hapo juu,kingine hizi picha zipigwe ktk mtazamo wa kuona idadi ya waliomo ndani,tupate picha ya hawa ndg zetu kwl wanajaza au lah,tunaona kbs km ni kumbi za ujanja ujanja na hazijazi,sasa ili lisije mporomosha msanii,kisa show ipo ulaya
ReplyDeleteANYWAY WAZEE,ALI KIBA HUWA ANALIPWA VIZURI TU ANAPOKUJA HUKU NA KAMA MLIKUWA AMJUI KWA HUKU MAREKANI JAMAA WAKENYA NDIO WANAMZIMIA SAANA KULIKO WABONGO NA NDIO WANAMLETA MARA NYINGI,ILA MSIWEKE PESA MBELE SANA COZ KIJANA ANAPOKUJA HUKU KUNA MAMBO MENGINE ANAWEZA KUPATA IKIWEMO EXPOSURE,USISHANGAE MSANII MWINGINE WA BONGO FLAVA AKIPANDISHWA NDEGE PALE DAR AFIKI MAREKANI ANAPOTEA KWENYE CONNECTIONS SABABU YA USHAMBA NA KUTOJUA LUGHA,MWACHENI KIBA AIBUKE HUKU WAZEE!
ReplyDeletehatakama akipata kidogo sie sawa na mkaa bure bwege wewe,kama rayc alisema wanaofanya shoo nje wanajizalilisha kwa malipo madogo ni yeye sio wenzie,kubadilisha amazingira na kuzunguka duniani sio sawa na wewe kila kukicha walalia kirago hicho hicho shwain kabisaa,watu bwana wivuuuuuu.sijui tutaendelea lini.kiba piga show mwana ,piga kazi matuwangu na kumbuka kusevu si unajua tena hujui kesho ipo vipi??savu ur money ma man,invest unachopata kitakusaidia baadae.life is abt future not present,present is by the way,leo waweza kuimba kesho je?
ReplyDeleteWe anony wa 1:14 PM una chuki binafsi na mimi nini?? manake umeongea as if ni mtu iliyekatwa kichwa vile!!! you seem to be reacting to me personally n' nat to ma' comment coz ma comment doesn't deserve yours. All i can c is a set of irrelevances in your comment!! Nimeuliza swali la kawaida sana na lisilo na aina yoyote ya chuki. Tulimsoma Ray C Akihojiwa kuhusu bongo fleva kwa sasa. katika majibu yake miongoni mwa mambo mengine alisema kuna wanamuziki wanashusha hadhi ya Muziki huo (kumbuka huyo anaesema hivyo si mimi fala wewe!!) Ray C akaendelea kusema kuwa hivi sasa wanabongofleva wanaidhalilisha fani kwani wamefikia hatua ya kupokea dola mia tatu kwa shoo za nje eti ilimradi wamepanda ndege'' hayo aliyasema RaY C yakachapishwa gazetini, mimi nilisoma gazeti tena kupitia mtandaoni basi sababu nilikuwa nje!! nilichofanya mimi ni kuuliza tu fala wewe na sio maneno yangu!!! au kosa langu ni kutaka kujua kama aliyosema Ray C yana ukweli??? Sasa hapo mimi naweza kufananishwa na haters kivipi??? ndugu mbona unaonekana una upeo mdogo sana hata wa kuchanganua maandishi na kuelewa maana ya yale yaliyoandikwa??? nikuhate wewe mi nakujua??? nikuhate kwa lipi hasa ulilonalo au kukaa nje??? kama ni nje nina uhakika nimekaa zaidi yako na ni katika nchi tofauti for ur info. usitake kuanzisha ligi na mimi humu michuzi blog humu ni furaha na maoni daima na si uswahili ukitaka uswahili wako huo tafadhari nenda Jamii F.
ReplyDeletena ushamba pia si mzuri!!
Ahsante na karibu
MACMUGA
ah jamani hii siku tulifurahi sana, mtoto yuajua kucheza huyu, maana tulikuwa tunapiga kelele utafikiri nini, wenye kumrukia, wenye kumshika tako, tulikua tunajaribu kkumshika mpaka nanihii yake ila alikua anakwepakwepa, jamaa anacheza vizuri, tumerudi nyumbani chupi zimelowana mwe! halafu ni handsome, ana sauti nzuri, jamani nilitamani nimbebe, hivi atakuja tena lini hapa columbus manake mimi sijatosheka kabisaaaaaaaaaaa! mmh jamani jamani Ali Kiba!!! mimi mwenzenu sijaona jamani mtoto mzuri huyu!!! Nikawa naulizia ana umri gani nikaambiwa ana miaka 22, maana nilipanga nimualike nyumbani usiku mmoja.Hata hivyo bado najifikiria mara mbili mbili mradi bado yuko hapa U.S popote pale nitamfata, mwe jamani Ali Kay, hakuna kama wewe napenda sana unavyocheza, you have a nice butt baby, ulipendeza kweli siku ile yaani sana tu, yaani unakung'utwa na jua la bongo na ndio uko hivyo. Mtoto mzuri sana wewe, nitajaribu kutafuta contacts zako mimi nakwenda bongo hivi karibuni, lakini nataka nihakikishe nikienda bongo wewe uwe kule, sio uwe umesafiri I am gonna need your company.
ReplyDeleteHakuna artist kama Ali Kiba jamani bongo loh, A. Kay wewe ni mwisho. Una sauti nzuri sana halafu napenda midomo yako ukiimba na pozi zako. I love you Ali Kiba. Mwaaah mwaaah mwaaaaah mmh jamani Ali kiba, sijui hata niseme nini, Ali kiba me is loving you oooh.
Aaa sijawahi soma nikatoa comment ila Anony wa 12:12 hana mpinzani.
ReplyDeleteMacmuga you are very right!! huyo anoni wa 1:14 inaonekana yeye ndo hater!! au ulishawahi kumpaka ndo kamind nini!!! manake mi naona umeuliza swali zuri tu na nikweli Ray c aliongea hayo. hata mimi nilikuwa nataka kujua kama yana ukweli wowote. mbona yule anony wa pili amejibu vizuri tu???
ReplyDeletewe anony wa 1:14 jifunze ustaarabu na hulazimishwi kutoa maoni kama huna maoni kaa kimya pumzika ukusanye nguvu za box kesho!!!
hater hater inaonekana hujui hata unachokiongea!!!!
Mbona wabongo tunapenda pwah pwah pwah.Longolongo,maneno meeeeeengi.
ReplyDeletemdau wa kwanza alitaka tu kujua kweli hawa vijana wetu,wanasafirishwa huko ma-ughaibuni,mtu anapiga shoo miez sita,saba nane.kuna maslahi yeyote?au ndo uchochoro wa mapromota feki kujinufaisha kwa jasho la wasanii wetu bila maslah yeyote,akija huku anarudi na majinzi tu,hakuna lolote.Kipaji tunajua ali kiba anacho.SWALI JE ANALIPWA VINAVYO STAHILI?ANANUFAIKA NA SHOO ZAKE?MUDA WAKE?KIPAJI NA NGUVU ZAKE?AU DHULUMA TU NA KU TAKE ADVANTAGE ZA ULIMBUKENI WA KUWAPANDISHA NDEGE NA MAREKANI.Kama hailipi to me is non sense.au kama ni show za sebuleni US.Bora mtoto wetu arudi kujitaftia rizki zake za show za KIBISA NA FIESTA BONGO.Maana huku hata ukilipwa laki.chps mayai unapata.ila ughaibuni mmmh.asije kua anaenda mbele hatua 2 na kurudi nyuma hatua nane na kujipongeza...
Kwani dar wanalipwa ngapi per show? Na wanafanya show ngapi kwa mwezi au?
ReplyDelete