kampuni ya shirika la ndege la precision ni mojawapo ya makampuni yanayojitahidi kujitangaza kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kutangaza bei zao kwa kutumia njia hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    Sasa mbona wanaona noma, ipende kazi yako !!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2009

    Kuna kampuni moja ilikuwa inasimamisha vijana pale round about ya Askari Monument wakapigwa stop kwamba ni udhalilishaji wa watu.

    Sasa hawa wenzetu wa Precion Air vipi tena ... bado hawajamulikwa?

    ReplyDelete
  3. Hiki ndicho kinachonikera bongo. Kwani hawa jamaa wanalipa kodi kwa kutumia dola pia?
    Inakuwaje wawalipishe watu kwa kutumia dola wakati wao kodi(kama wanalipa) wanatumia pesa za madafu?
    ngrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!

    ReplyDelete
  4. sasa wanaona aibu yanini ni hiyo ni kazi kama kazi yoyote?kama wanaona sio kazi ya heshima si waiache kuliko kujitesa hapo nje ktk jua kali la bongo na dhoruba la vumbi.Wakati wengine tunaenda shule ili tupate kazi nzuri wao walikuwa wanalala tu sasa wanalipa..msione aibu hayo ndio malipo yenu ya kukimbia umande....

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2009

    Watu wanadhalilishwa vipi jamani? Mtu si analipwa akifanya hivi? Marekani ukienda kila sehemu kazi kama hizi zipo. Hizi zinaitwa Day waka! Unalipwa siku hiyo hiyo!

    ha hahah ahaha hah!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2009

    this is called downgrading shilingi and upgrading dollar...aibu sana...yani shilingi zetu haina respect in our country?

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    THIS IS PURE SLAVERY NA SI AJIRA YENYE TIJA NCHINI. KAMPUNI INGEWEZA KUTENGENEZA MABANGO NA KUYABANDIKA KWENYE DALADALA, HII NDIYO NJIA INAYOTUMIKA KWENYE MAJIJI NA MARA NYINGI HUVUTIA ZAIDI. TUSIKUBALI UTUMWA KWA KISINGIZIO CHA AJIRA LAKI SABA! ZA CCM.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    Binadamu acheni kauli mbaya, kwani aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi! Usiongelee habari ya umande bila kujua sababu iliyomkosesha mtu kwenda shule! Wengine ni uwezo mdogo wa walezi wao ndio unawafanya watu kuhangaika, do you people understand that still there are Tanzanians who can't serve a proper meal kwa familia zao, let alone kuwapeleka shule! Acheni hizo.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2009

    kaaazi kweli

    $$$$$

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2009

    Mi hapo juu nimesema wanaona noma, ila huyo mdau hapo juu aliyesema wamekimbia umande sio fair kabisa. Usimdharau mtu kwa kazi yake, wewe hujui kwa nini hakupata nafasi ya kwenda shule, kama wewe ulibahatika basi pia haikusaidii kwani kuelimika ni pamoja na ku-respect watu wengine hata kama huwajui !!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 13, 2009

    we mjinga unayetukana wenzio kuogopa umande, kisa mwenzetu ulijaliwa kutawadha na kuosha vibibi na vibabu ukajilipia ada basi unajiona wewe wa maana, ingekuwa hiyo kazi unaifanya hadharani na haswa bongo ungesema? Dharau zako zinaonyesha umesoma lakini hujaelimika.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 13, 2009

    website yao hawa jamaa bado hairudhishi. kwa dunia ya leo kutegemea kuuza tiketi kaunta tu haileti tija.

    siku moja nilkuwa naangalia uwezekano wa kutumia precision air tokea nairobi kwenda dar. nilipata shida sana kwani booking hadi upige simu. yaani shida tupu.

    hiyo hela wanayowalipa hao watu wakae hapo na mabango nadhani wangemuajili mtu mmoja wa IT awasaidie eticketing.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 14, 2009

    Udhalilishaji udhalilishaji!!!!!!

    Hata Bia ya Simba Pilsiner waliwahi kufanya hivyo keepleft ya Moshi, kama laani ile bia sijaisikia tena. Hivi haya makapuni yanatumia umaskini wa vijana kuwachosha hivi???? Mbayaaa

    ReplyDelete
  14. mediaViabilityMay 14, 2009

    Mwaka jana nilipanada precision air kwa kutumia e ticket ya rwanda express; Dar to kigali via Kilimanjaro.

    Kama kweli precision air hawana e -ticket ni aibu sana kwani mapatner wao rwanda expres na KQ wanazo e-ticket.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...