Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo, akikata utepe kufungua rasmi duka la Zantel Mwanza. Pembeni yake ni Mkuu wa Kitengo cha mauzo Zantel, Deo Kwiyukwa.
Rose Mushi wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja akitoa maelezo kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na Zantel kwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Luteni Kanali Mstaafu Serenge Mrengo
Poa sana bhageshi! huko ni kwetu sana ingawa mimi ni malafyale.
ReplyDeleteSwala la makampuni kutangaza kutoa huduma sio tatizo.tatizo ni kwamba ze huduma hiyo itafikia watu wangapi?.kwani kiwango cha kuilipia huduma hiyo ya mawasiliano ndicho kitakacho kwambia kama mambo ni yale yale au laa.
ReplyDeleteJe nduguzangu wahusika na mnao fahamu swala lamawasiliano ya internet kwanini Tanzania ni Ghali internet kuliko Ulaya?.Mimi niko nchi moja hapa Ulaya nalipa kwamwezi sawa na pesa za kitanzania 16250TSH speed ya hii ineternet ni 100Mbps.Huku kuna nini ambacho makampuni yanashindwa kufanya hapo nyumbani hata iwesawa.Nilishituka sana kusikia Internet kwa siku TSH6000.Nitapenda kupata jibu hata kutoka Zantel.{MDAU}
Deo kwiyukwa its good to c u ,u have changed somewhat keep up the good work
ReplyDeletendugu mdau, ningependa nikufahamishe kwamba kuna tofauti Ulaya na Tanzania. Ulaya wanatumia Fiber na TZ bado tupo kwenye satellite ndio tunaelekea kwenye fiber sasa. Pia huduma anayotoa Zantel ni CDMA ambayo kifaa chako cha internet unatembea nacho kwa maana popote utapoeenda TZ bs utapata huduma. Bei zitashuka very soon baada ya Fiber kuanza bei za Internet na simu zote zitashuka sana sasa tuombee TCRA nao wawe makini na hilo maana wasipokuwa wafwatiliaji basi bei zitakuwa juu ingawa makampuni husika yatakuwa yanaendesha mawasiliano kwa gharama za chini sana.
ReplyDeletedeo unang'aa suti imekutoa kweli
ReplyDeletevipi kuendeleza zain vijijini?