Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran Mhe. Dk. Parviz Davoodi wakibadilishana na kukabidhiana Mafaili yenye kumbukumbu za makubaliano ya mazungumzo yao waliyokubaliyana kwa ajili ya kukuza ushirikiano katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na kimaendeleo kati ya Nchi mbilia hizi. Hafla hiyo imefanyika leo katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempesk Dar
Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje Mhe. Seif Ali Idi na Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za nnje anaeshuhulikia mambo ya Nchi za Afrika wa Serikali ya Kiislam ya Iran Mhe. Mohammedreza Bagheri, wakibadilishana mafaili ya kumbukumbu za makubaliano ya mazungumzo yao waliyokubaliana katika kukuza masuala ya ushirikiano wa kimaendeleo kati ya Wizara zao, Hafla hiyo imefanyika leo katika Hoteli ya Kilimanjaro Kempisk Dar

TANZANIA AND IRAN TO COOPERATE IN AGRICULTURE AND TRADE

By ASSAH MWAMBENE 
  
Agriculture and trade promotion sectors were among the key areas that received a new consideration in the four documents signed in Dar es Salaam, yesterday between the Islamic Republic of Iran and Tanzania. 
  
The documents include a Memorandum of Understanding between the Board of External Trade of Tanzania (BET) and the Iran Trade Promotion Organization (ITPO) that provide for the two parties to participate in the joint trade fairs and exhibitions. 
  
It also calls for the parties to co-operate in identifying and discussing areas of high export and import potential and if deemed necessary conducting a joint marketing research into the identified areas. 
  
The BET Director General, Mr Ramadhan Khalfan signed the Agreement for Tanzania while Iran was represented by Dr. Mahdi Ghazanfari, the Deputy Minister and Head of  ITPO 
  
The two countries also agreed to cooperate in the field of agriculture, especially in the area of exchanging experts, processing technologies, extension services, farm management, crop production, food production and agricultural implements and machinery. 
  
They also agreed to exchange materials and information relating to agriculture, trainees and scientists on study and training visits. 
  
The MoU on Agriculture was signed by the Minister for agriculture, Food Security and Co-operatives, Mr. Stephen Wasira for Tanzania, while Iran was represented by its Minister for Agriculture, Mohammad Eskandari. 
  
Of equally importance is the MoU between   the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation of Tanzania and that of Iran, in which they agreed to enhance co-operation in matters of consultation and diplomatic exchange. 
  
The signatories to the MoU on Foreign Affairs were the Deputy Minister for Foreign Affairs and international Co-operation, Ambassador Seif Ali Iddi and the Iranian Vice Minister of Foreign  Affairs, Mr. Mohammad  Reza Bagheri. 
  
The Tanzanian Vice-President, Dr Ali Mohamed Shein and the Visiting First Vice-President, Dr. Purviz Davoodi also signed on the agreed minutes of the bilateral Co-operation between the two countries. 




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    Aaah,kilimo na biashara nini,na sisi tuanataka NYUKLIA kama wao,aagh!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2009

    hiyo hati ya kitalu gani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2009

    Mashaka aliwaponda wa Iran-ni wazi haelewi siasa zetu na marafiki zetu ni nani.

    mpambe wa US Blogger.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2009

    Good. Mimi nina mpango wa kuanza ku-export kiti moto Iran. Nitaruhusiwa?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2009

    nyuklia balaaa babu! sie tunataka mademu ya kiirani tu!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2009

    WAIRANI WALISHAINGIA MKATABA WA KILIMO TANZANIA TANGU ENZI ZA MWALIMU HATA WASUDANI PIA WAMO TANZANIA LAKINI HATUJAONA CHOCHOTE KILICHOFANIKIWA. HEBU TUANGALIE MRADI WA RAISI CARTER GLOBLE 2000 ULIVYOLETA MAFANIKIO KATIKA MUDA MFUPI SANA LAKINI KUTOKANA NA UZEMBE WETU TULIUUA. HAYA MAKUBALIANO YA YA KISIASA NA HATUTAONA MAFANIKIO YOYOTE YALE, WATANZANIA TUJUE HILO.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    of all the nations!!

    msitujazie-----na kuleta -------

    basi laa sivo tutasimama kidete kama zile ishu moto zilizopita Tz

    ni ayo tu

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    wee us blogger(hater) wa mashaka
    marafiki gani??Iran??

    kwa lipi asa!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2009

    NYIE NA MASHAKA WENU WOTE MALIMBUKENI TU!!WENYE AKILI ZA KITUMWA!!
    MNABABAIKIA HIYO U.S.A MSAADA KIDOGO MASHARTI NA KIJUTANGAZA SANAAA.

    ETI HIYO PROJECT YA RAISI CARTER MUDA KIDOGO MAFANIKIO MENGI MBONA ILIKUFA SASA?
    TUNAJUA ITIKADI ZA KITUMWA ULIZO NAZO UTATUAMBIA TULIZIUA SI NDIO?
    JE HIYO MIRADI YA KIIRANI NA SUDANI OLIYOSEMA IPO TOKEA ENZI ZA MWALIMU JE NAYO HATUKUIUA?AU NDIO WALE WALE?UKIMWONA NZI MKUBWA UTAMWITA NZI WA KITANZANIA LKN UKIMWONA BATA MKUBWA WA KIZUNGU.
    MSITUZINGUE NA UTUMWA WENU WA KIFIKRA MIRADI MINGAPI YA WAMAREKANI IMEANZISHWA BONGO NA KUFA?
    WANYONYAJI WAKUBWA TENA WAO NDIO WANAOTUTILIA KITUMBUA CHETU MCHANGA MNAKUMBUKA MAREKANI WAO NDIO WALIOMOBILISE MATAIFA MENGINE YASINUNUE TANZANITE ETIWANAIHUSISHA NA UGAIDI ILI ISHUKE BEI WAFAIDIKE WAO,WAKATI WAO NDIO WANUNUZI WAKUBWA WA TANZANITE 85%WAO NDIO WANAONUNUA WANAFKI WAKUBWA

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 13, 2009

    KWA TAARIFA YENU NCHI ZA ASIA NA ZAKIARABU ZINATUSAIDIA SANA TENA SANA ILA ZENYEWE HAZIJITANGAZI TU KUTOKANA ZENYEWE HAZIITAJI INTEREST KUTOKA KWETU
    SIO KAMA HAO WAMAREKANI AKIKUPA HATA CHUMVI WATATAKA DUNIA IJUE COZ WANATOA KIMASLAHI ZAIDI.
    NAWAO NDIO WANAOTUNYONYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...