HABARI TOKA MTAA  WA SWAHILI (SAMAHANI SIO MSIMBAZI KAMA ILIVYOELEZWA AWALI)  JIJINI DAR SASA HIVI ZINASEMA KUNA MAPAMBANO MAKALI KATI YA POLISI NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI, NA RISASI ZINAUMUKA MTINDO MMOJA. 

MDAU WA GLOBU YA JAMII ALIYEKO ENEO LA TUKIO ANASEMA KWA SIMU HALI NI KAMA SOWETO ENZI HIZO ZA MAPAMBANO. MTAA WA SWAHILI KARIBU NA KONA YA MSIMBAZI UMEFUNGWA NA WATUHUMIWA WAMEBANA NYUMA YA GARI NA WENGINE WAMEBANA NDANI YA DKA. 

 FFU WAMESHAFIKA NA MAPAMBANO YANAENDELEA. 

HABARI  ZAIDI ZITAFUATA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2009

    Samahani hii haihusiani na hiyo habari hapo juu.

    Lakini nchi yetu inazama jamani.

    Viongozi sasa hivi bila aibu wanajitahidi ku-justify uchumi wetu mbovu kuwa ni kwa sababu ya global financial crisis ... ambayo wala haijagusa sana Tanzania (mabenki yetu yanatengeneza faida)

    http://www.economist.com/world/mideast-africa/displaystory.cfm?story_id=13610881

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2009

    Blog ya jamii iko mbele kwa news, wanasema "ahead of time, keep it up"
    sasa michuzi hii mijitu inayotuma barua za namna hii itashikwaje, kwani mimi wananiuzi, kila siku nazipata 2 au 3. mjanja ajaribu kuwanasa.


    07-05-2009

    ZENITH BANK COMPENSATION UNIT, IN AFFILIATION WITH THE UNITED NATIONS. Send a copy of your response to official email: bank.zenithng@yahoo.com
    +234-803-058-8515

    ATTN: Sir/Madam,

    How are you today? Hope all is well with you and family?,You may not
    understand why this mail came to you. We have been having a meeting for the passed 7 months which ended 2 days ago with the then secretary to the UNITED NATIONS.

    This email is to all the people that have been scammed in any part of the world, the UNITED NATIONS have agreed to compensate them with the sum of US$450,000.00(Four Hundred and Fifty Thousand United States Dollars)This includes every foriegn contractors that may have not received their contract sum, and people that have had an unfinished transaction or international businesses that failed because of inappropriate international proceedings due to Government problems etc.

    Your name and email was in the list submitted by our Monitoring Team of Economic and Financial Crime Commission observers and this is why we are contacting you, this have been agreed upon and have been signed. You are advised to contact Mr. Jim Ovia of ZENITH BANK NIGERIA PLC, as he is our representative in Nigeria, contact him immediately for your Cheque/International Bank Draft of USD$450,000.00 (Four Hundred and Fifty Thousand
    United States Dollars)

    This funds are in a Bank Draft for security purpose ok? so he will send it to you and you can clear it in any bank of your choice. Therefore, you should send him your full Name and telephone number/your correct mailing address where you want him to send the Draft to you.

    Contact Mr. Jim Ovia immediately for your Cheque and make sure you quote your BENEFICIARY.REF/PAYMENT CODE to him:

    Person to Contact: Mr. Jim Ovia
    Email: bank.zenithng@yahoo.com
    +234-803-058-8515

    Goodluck and kind regards,

    Making the world a better place

    Mr. Ban Ki-Moon
    Secretary (UNITED NATIONS).
    http://www.un.org/sg/

    ReplyDelete
  3. Hata mimi kwenye line yangu ya tigo kuna mtu ambaye namba yake ni 0719829029 kanitumia meseji ya kitapeli inasema hivi:"PATA OFA KABAMBE KUTOKA TIGO WEKA SH 5000 KATIKA AKAUNTI YAKO KISHA TUPIGIE SIMU NAMBA *101*0719829029*4999#OK UTAKUWA NA SHS 10000 PAPO HAPO tigo". Utapeli mtupu. Kama husisomi kwa kutafakari utaingia mkenge na utamtumia hizo 4999 na wala 10000 hupati. Jamani mliopo TZ BEWARE.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2009

    Mdau wa Tarehe May 08, 2009 9:55 AM, Pole kwa email hizo za kitapeli, Cha kufanya ili kuepukana na hao watu, ni kureport spams, ukitumiwa email kama hiyo, angalia kwenye heading, kuna link ya (report Spam) kama ni yahoo, au mark as junk kama ni hotmail, au mark as unsafe...nk, kwa kufanya hivyo utakuwa unablock all unwanted emails from that sender, Kuwa mvumilivu kwani ni process inayochukua muda kwasababu matapeli hao wana emails mbali mbali wanazofanyia utapeli, kisha angalia options za kuwa na spam filters, kama zikikuelemea fungua email nyingine na uanze upya... hii sio option bora lakini inapozidi husaidia... hakikisha hupost email yako kwenye websites, blogs etc, kwani hawa matapeli hutumia botnets kuattack vulnerable computers... Make sure you run a genuine anti visus/spam/melware etc...scan computer yako mara kwa mara, update your Operating system and anti virus automaticly.
    Kila la Kheri.

    Mdauz

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2009

    Suala hili la ujambazi limeanza kushamiri tena!Ila kuna jambo moja nalo hisi linaweza kuwa chanzo.kwani kwenye ile milipuko kile mbagala kwenye maghala ya silaha kuna silaha ambazo zimeangukia kwenye mikono isiyo salama kwani zili rushwa uraini kutokana na milipuko.hivyo basi vyombo vya usalama vinatakiwa vifanye uchunguzi kubaini ni silaha ngapi hazikupatikana baada ya milipuko.kwani tumeshuhudia risasi sikiwa mtaani.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 08, 2009

    Ahsante Mdauz wa 1.42 kwaushauri wako. Baada ya kuexpose hiyo hapo juu wamekuja na hii hapa chini hapa chini na namba ya simu hii ni ya wapi +88213030047 kwani nimepigiwa 13.47 mchana huu nikipokea haijibiwi. nikipiga haipokelewi.



    Assalam Alaikum...

    I AM MRS. SABAH AHMAD FROM KUWAIT. I AM SOLICITING FOR YOU HELP ON A MUTUAL
    BENEFIT. REPLY ME WITH (mrs.sabahahmad@yahoo.com.hk)

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2009

    Mrs Sabaha kwani umeshindwa cheki hiyo code google?Am guessing hiyo ni code from one of the countries za Bara la Asia,Simply u can google international calling codes then utapata +88 ni nchi gani.BUT siyo Africa wala europa.

    mdau netherlands

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 09, 2009

    Nchi kuendelea itakuwa shida sana kwa sababu wananchi hawataki ushindani wa hoja, wanaweka upambe mbele na matokeo yake ni kwamba wanaopambwa wanaona hawana ulazima wa kushindana kifikra.

    Nchi itaendelea pale wananchi watakapokuwa tayari kukubali hoja za ushindani.

    US Blogger 2

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...