Danny Glover

Habari wadau wa Tasnia ya Habari Nchini.
Napenda kuwajulisha wapenzi wote wa filamu nchi kuwa mgeni rasmi mwaka huu katika tamasha la filamu la nchi za majahazi (ZIFF) ni muigizaji filamu maarufu kutoka Hollywood, Danny Glover.

Kwa wale wapenzi wa muvi basi tutamkumbuka vyema katika filamu kama Lethal Weapon akiwa na Mel Gibson na Jet Lee na zingine nyingi.

Danny Glover pia ataendesha warsha (Acting for Camera) kwa ajili ya wadau waliojikita katika uigizaji kama yeye.
Pia atakuwa na muda wa kutosha kuzungumza na wadau katika kiwanda hiki cha filamu pale watapo muhitaji zaidi kuongelea kiwanda hichi.

Wako katika Filamu
Daniel Nyalusi
Events/Film Programs Coordinator
Zanzibar International Film Festival

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hii ni nafasi nzuri sana kupata training, tena kutoka kwa mtalaamu kama Danny! I wish I could be there. Changamkeni wasanii wenzangu!

    ReplyDelete
  2. One of underrated actors in business.I always wonder why he doesnt get as much credit of his works as Denzel gets.Is this because he aint "good looking" enough,I think he is.But why people over look him?Please,let me know.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 27, 2009

    mbigiri my friend 12:01, the issue of being "good looking" or not is subjective. He might or might not be "good looking" to you or me, lakini si lazima iwe hivyo kwa somebody else...kutakuwa na sababu nyinginezo. Nnavyojuwa mimi ni kuwa Danny Glover ni mmoja kati ya actors wanaoheshimika sana Hollywood (the likes of Sidney Poitier, Morgan Freeman)ingawa kwa sasa hatumuoni kwenye vitu vipya..Sijui labda mimi sijapata muvi zake mpya..

    Mdau chiggs, Deslam

    ReplyDelete
  4. You're very right mr.Chiggs.Ndio maana nimeweka quatation marks ktk sentensi yangu.Pili ungesoma the context ungeelewa sijamaanisha kuwa jamaa si good looking. I still think he should get more credit than people like Denzel gets.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...