Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2009

    Du! Bro Michuzi hii picha yako umeibadirisha lini? maana ndio naiona leo. Hongera.Hii sasa mwake, ile ya mwanzo nilikuwa nashindwa tu kukwambia, laikini ilikuwa imekaa vibaya

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi mi nakufagilia sana kwa hii blog yetu sisi kama jamii, hakika ni muzuri sana.Kizuri hakikosi kasoro,pamoja na uzuri wote huu kuna mambo ambayo mimi binafsi yananikera sana.
    Kila mara nasoma Watanzania waishio ughabuni wanafungua matawi ya ccm.Why? Tanzania ni nchi ya kidemokrasia yenye mfumo wa vyama vingi vya siasa.Hata hivyo siamini kama kweli hao ni wanachama wa ccm .Ila wanachokifanya ni ile kauli ya ''shabikia ccm ili mambo yako yaende vizuri''Inawezekana wanajua wenyewe walivyofika huko na pengine hii ndio fadhira yao kwa ccm.Inasemekana wote hao si wanachma wa ccm na wala hawana kadi za ccm,na wengine waliohojiwa wamedai wanafanya hivyo kwa malengo maalum na uchaguzi ukifika hawawezi kuchagua ccm.Lakini tunawambia kuwa wajomba huku hali si shwari sio rahisi kama nyinyi mnavyo imba nyimbo za kufungua matawi.Naamini huo ni unafiki mkubwa kwa nchi kama yetu inahyohitaji mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi.Hata wao wanajua fika kuwa hapa tulipo ni matokeo ya ccm ya kulindana na kulea ufisadi.Acheni jamani sisi tumechoka.
    Kuna hawa wengine Bwana Michuzi ambao wanajaribu kutumia blog hii kujaribu kuwasafisha mafisadi kwa maji taka kitu amabacho tunakipinga.Tunataka ieleweke kuwa hii vita dhidi ya ufisadi ni vita kali ambapo inapotokea mtu(ambaye tunaamini sia Mtanzania halisi) kuwalinda hawa wafujaji na wala nchi tunamsikitikia sana kwani anakuwa hajui tumetoka wapi ,wapi tupo sasa na kule tunakoelekea.Waiacha blog ya jamii kwa ajili ya wanajamii.
    Ahsanteni sana wanamapinduzi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...