leo na kesho kutakuwa na hafla ya uzinduzi wa mtandao ya wadau waliokula nondozzz nchini ujerumani katika nyakati mbalimbali katika ukumbi wa diamond jubilee hall, dar. kutakuwa na midahalo pamoja na kongamano na warsha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2009

    Heri nyinyi mmefikiria kitu kizuri, lakini sisi wa hapa Ukerewe tumekalia matawi ya chama cha nini hii tu. Big up.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...