Kiota hiki kinamilikiwa na Abby wa big brother fame na mume wake Samanta wa Mediterreneo ...yaaani we acha tu! Kama vile Cape Town mwanangu ..
Mdau i-msafiri.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mboni hakijatulia kivile?? hebu ongezaongeza picha basi labda umeacha picha nzuri mwana!!
ReplyDeleteyani kaunta ndo hivyo tu imetoka au?? hebu piga picha za kila engo basi utushawishi!!!
ya naona kama Greepoint imefanan na News cafe nimekubali nikishuka Bongo lazima niitembele nitoe Babalazi la cape Goodluck keep it up from zee la stellenbosch
ReplyDeleteNimekiona kwenye picha hicho kiota na kinaonekana si mchezo, ila kuna jambo moja linanikera kwa huyo samantha na abby, majuzi nikiwa tanzania nilienda kulala hotelini kwao mediteraneo, yani ni hovyo kinoma, ilinibidi nisitishe siku za kuwepo pale. Restaurant yao ni bomba ila vyumba ni kama unalala kwenye hotel ya vichochoroni, mabomba yameharibika, heater haifanyi kazi, kidude cha ku hold toilet paper kimebomoka kwahiyo toilet paper iko juu ya sink, yani wameniboa kupita kiasi. Sasa napata picha labda walikuwa wanasave pesa kujenda hiyo lounge which on my opinion ni rediculous sababu hutakiwi kuacha sehemu moja iporomoke ufungue mpya. Mtakaosoma hapa kama ni marafiki zenu naomba muwaambie wasiisahau hotel ile kwani ni nzuri. Ila inahitaji matengenezo ya hali ya juu.
ReplyDeleteMdau!!
Aaahh sasa mbona hawasema mpango wa ratiba zake tusije enda time tukakuta na Pad Lock.maaana hivi viota vipya vya siku hizi havieleweki.
ReplyDeleteNah! Is that it? Get us more snaps bana kama mdau wakwanza anavyosema. Otherwise that so called kiyota is not even half way complete and that performance ipo kama inafanyika sittin'-room kwangu! alah! Put up some easy nice stage sio mpaka watu wapalamie viti kuona show.Nataka attraction yakunitoa huku kwetu nyegezi!
ReplyDeleteBaba koku wa nyegezi.
Badala kuweka picha za waafrika, wanaweka za wazungu. Kweli tuko bongo au???????
ReplyDeletewapiga box tukiwaambia starehe na maraha yako bongo wanatuona hatuna mpango.Hivi ndo viwanja vyetu sasa vya kula maisha na familia, ughaibuni ni kwenda kusanya tukirudi mambo mswano!
ReplyDeletewoopwoop,bata kwenda mbele mjini dar es salaam.,natua jumamosi ijayo kutoka ughaibuni break ya kwanza runway,SUMMER BABY
ReplyDeleteKiota kimetulia, acheni kuhate jamani! Tutakitafutia muda tukifanyie uchunguzi zaidi. Ila naona picha ya pili inasema RunAway badala ya RunWay.
ReplyDelete