Mambo vp?!
Kaka naomba ututangazie blog yetu mashabiki wa Simba Sc, inaitwa www.simbasportsclubfuns.blogspot.com. 

Ni maalum kwa ajili ya mashabiki kubadilishana mawazo na kushauriana na hata kutoa maoni kwa uongozi.Ka
 
Kazi njema mkuu
Alfred!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2009

    funs????????????

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2009

    ni funs au fans?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 02, 2009

    simba kituko kwelikweli....is it fans or funs...get it rite boy!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 02, 2009

    mashabiki wa Simba (Funs!) inabidi mtembelee webusaiti ya timu iliyopanda daraja http://www.africanlyonfc.com/ formerly known as Mbagala Market.

    Pia Yanga Funs watembelee hiyo webusaiti kwani ni mfano bora, ukitaka kujua habari kedekede za kitimu(Afican lyon FC) unazipata ktk webu yao.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 02, 2009

    Mdau rekebisha iwe fans, vinginevyo ipige kwa kidigo tu. Hivi hivi inakuwa kituko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...