malenga wa dar ni mmoja wa vijana wanaotumia vipaji vyao kujitafutia riziki
Home
Unlabelled
malenga wa dar (video)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mimi ninaishi hapa US, kwa kawaida hapa ili ufanye kitu watu wengine washtuke basi ni lazima ufanye kitu katika extra ordinary level.
ReplyDeleteKwangu mimi huyu ndugu amefanya kitu cha zaidi ya kawaida kwani ameonekana ni mwepesi wa kutengeneza instant mashahiri kwa kuzingatia hali iliypo mbele yake hata kwa sekunde.
Ana kipaji, kinachohitajika zaidi ni kukiendeleza. Mkiweza jamani angalie uwezekano wa walau aende pale Bagamoyo kwenye cho cha sanaa atafaidika na pia ni hazina muhimu kwa taifa.
Ninakupongeza sana Mh Balozi na DC wa nanihii, kazi nzuri sana ya kuwaleta hawa ndugu kwenye uso wa dunia.
Hongera sana ndugu malenga wa tz. Mimi sipendi mashairi lakini nimejikuta nikivutiwa na malenga huyu kwa kipaji alichonacho. Natoa mwito kwa wahusika serikalini wamsaidie kukuza kipaji hicho, kwani ni hazina ya nchi yetu. Naomba nipate jina kamili na mail au mawasiliano ya huyo jamaa nikija hapo tz nimtafute kwa ajili ya sherehe yangu. James-london
ReplyDeleteAbsolutely amazing! Hazina ya taifa
ReplyDeleteamazing !! ni kipaji cha hali ya juu
ReplyDeleteHii ni MALI-BUNIFU yenye thamani kubwa sana. Hongera Malenga.
ReplyDeletemashallah ,kaka michu tafadhaki kaka tulitee zaidi ya vionjo vya malengo aiseee anatisha ,usipime hapo.You made my boring saturday kaka lol!
ReplyDeleteBalozi;mimi hapa hoi kwa kipaji cha huyu malenga...huyu haswa malenga mahiri...naomba unitafutie contact za huyu malenga tafadhali au kama kuna mtu anajua contact zake naomba aziweke hapa nitarudi tena kuziangalia..tafadhali wadau.
ReplyDeleteNawewe kakaa michuzii Ulikua uanatafutaniniii,Nanialikuarika Mbonaujatwambiaaaaaaaaaa.....
ReplyDeletethats artist for real...thats what you call TALENT
ReplyDeleteGREAT POTENTIAL.
ReplyDeleteIT IS WHAT IT IS.
Naona amezivunaaa, utadhani ni yatimaaa, ila nimemkubaliii kijana amepatiaaaaaaaaaaa.
ReplyDeleteHebu tupe na kontaktiiii, ili nasi tumjueee siku tukimhitajiii tujue pakumpatiaaaaaaaaaaaaa
Mh! A pure genius and fast mind indeed!
ReplyDeleteEBWANA HUYU NIMEMVULIA KOFIA.MANAKE NIMECHEKA MPAKA MACHOZI YANA NITOAKA.JAMAA MTAAALAMU NILIBAKI NAANGALIA DAKIKA ZA CLIP ZIMEBAKI NGAPI MANAKE SIKUTAKA AMALIZE.
ReplyDeleteKAKA MICHUZI TAFADHALI SANA KAMA UNAWEZA TUEKEE CLIP NZIMA.JAMAA NOMA.
hii ndoi tradition song ya TANZANIA sio RAP wala bongo flavor ,kwanza bongo flavor zote zinafanana kurap na kuvaa suruari matakoni si kitanzania kabisah!
ReplyDeleteyani kanikumbusha enzi za radio Tanzania wakati wa mashairi,
wow hii ndo old school ya TANZANIA 100%
Kaka mich kichwa hicho nimekikubali simchezo kitawafunika wakongwe sasa hivi
ReplyDeleteMh Balozi nadhani wewe unaweza kuwa hero kwa huyu malenga.
ReplyDeleteJaribu kuwatumia hii clip jamaa wa Bagamoyo na kuwauliza wanaweza kufanya nini juu yake.
Michu jaribu tafadhali, nisingependa kuona talent haipati kuendelezwa.
You can be his hero kama utaamua kutumia dakika tano tu kuituma hii clip pale Bagamoyo.
aisee hii ni kiboko... BIG UP KWA SANA KWA HUYU JAMAA!!!
ReplyDeletehuyu jamaa ulimi wake ni kama ak 47 duh mimi mwenyewe hoi!!!
ReplyDeletebalozi wa nanii, tunaomba utuwekee na Steven Nyerere tuburudike.
ReplyDeleteKaka huyu ni mkali, na nimemkubali. Tungepata na mawasiliano yake ingekuwa vizuri, tumpe kazi.
ReplyDelete