Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2009

    Huyu cartoonist namvulia kofia, yaani nimecheka sina mbavu, big up saaaana tuuu.

    Fadhili Moh'd anawakilisha watu wa hali ya chini kwenye mawazo yake. Si siri unatuwakilisha vilivyo kaka.

    Keep it up.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2009

    Mzee nimekukubali asilimia mia moja. hapa kwenye internet cafe nimecheka kama sina akili nzuri, mpaka mtu wa pembeni kashangaa huyu jamaa vipi. naandika kutoka nje ya nchi.

    ReplyDelete
  3. Dogo wa Uswazi nakukubali,sisi watu wa huku Uswazi ukikutana na Vibaka kama hao bora uwapige Mkwala wa Kuwaroga.Baadhi yao wanaweza kuogopa,lakini ukiwachimba MKWALA wa Polisi hawakuelewi na wala hawaogopi.Huku Uswazi maisha ni ya kuwindana zaidi hivyo yakupasa uwe na tahadhari hasa nyakati za usiku.
    BWALYA
    MTONI-MWEMBE MADAFU
    TMK

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2009

    Hahahahaaahhahaha Michuzi hapa umecheza kwa kumleta huyu dogo katika blog ya Jamii.

    Hakika umeniondolea stress zangu na upweke kwa kunipa vionjo vya mtaaani haswaa!!
    Tehe tehe tehe teheeeee

    Keep it up Fadhil

    Mdau Oslo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...