Mwenyekiti wa taasisi ya wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akiongea na mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Nyamisati sec school sharifa hamidu kityagwa mwenye umri wa miaka 14 huku mbunge wa viti maalumu (CCM) Mh. Lucy Mayenga aliyefuatana na mama Kikwete katika kukagua maendeleo ya shule hiyo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani akiangalia jumamosi hii.
Mama Salma, basi tu, yaani mimi nakufagilia sana sana jinsi ulivyo, Hongera mama
ReplyDeletembona lucy amekuwa mweupe
ReplyDelete