

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mikonoz vipi hiyo
ReplyDeleteJamani hivi vitambi ni:
ReplyDelete1. Kuloa sana?
2. Bia kwa wingi?
3. waja wepesi?
4. wana safura?
Twanga komaeni vichwa, mmekuwa mfano kwa kipindi kirefu, misukosuko ni sehemu ya mafanikio.
ReplyDeleteMdau
Tabata-Kimanga
Kweli huu ndiyo utanadawazi (ya wazungu kuleta huku kwa waafrika lakini ya waafrika kwenda kwa wazungu!!), kwamba mwanamke hawezi kucheza akiwa amevaa vizuri bali mpaka awe UCHI!!!
ReplyDelete...clearly a chapati or mandazi too many...a burqa might help...
ReplyDeleteHongereni twanga kwa mafanikio mlioyoyapata kwa kipindi kirefu.Hasa dad Asha baraka pamoja namisukosuko mingi inayokukabili kama kiongozi mwanamama.Lakini mimi tatizo langu bado ni udhalilishaji kina dada wcheza shoo,hivi hakuna mavazi ya kitanzania yanayoweza tumika badala ya hayo ya kigeni? mbona kina kaka wamependeza na hatuoni sehemu za miili yao? au ndio dhana kina mama mnakubali ni chombo cha kutangaza biashara kutumia miili yenu.tusikubali tamaduni za kuiga zinazotudhalilisha.najuwa twanga hakuna wakongo ni watanzania watupu, tupeni mambo ya kitanzania.Mwisho dada asha fanya huruma mrudishe BANZA kundini naamini chini ya malezi yako kijana mambo yake hayayumbi kama ilivyo sasa.
ReplyDeleteDah! haya Twanga naona huo uzinduzi wenu Diamond Jubillee Ijumaa ijayo ya
ReplyDelete5/6/2009 utakuwa si mchezo. Listening party tuu mmejiandaa na kuonekana hivyo, siku yenyewe patatosha kweli?.
hongera sana na mmpendeza sana lkn dada zangu hizo boots ni kwa ajili ya baridi kuna hao wamevaa raba wamependeza zaidi mungu awabariki sana muwe na msimamo huo hongera sana Asha Baraka
ReplyDeleteyani huyo dogo kalala ndio kanenepa hivyo? duh! ebwana kama unasoma kumbuka mo tulikuwa tunapiga kikapu pale amref enzi hizoooo!
ReplyDeletena huyu choki vip mboni kakonda hivyo!
mo, norkopping
Mhh sijampata vizuri kwenye picha ya chini kabisa, je huyo ni choki ama dr.cheni?
ReplyDeleteNaona wadada "FULL NDAMBIZI" sijui ndo fashion ya sasa ama ni mambo ya 'chapati' na 'ngano'?
MdauzJP
Nilijua tu waosha vinywa lazima mtachonga sana midomo! kuhusu Madansa kwa kuwa wana matumbo makubwa!
ReplyDeleteDU HIVYO VITAMBI SI MCHEZO! je mna ugonvi na mazoezi?hapana kucheza ni mazoezi tosha! sasa tatizo ni nini? CHIPS NA KUKU WA KISASA! du!!! shepu zinaharibika watoto wazuri diete na gym muhimu sasa hata kama ni figure za kibantu!!!ka!!
ReplyDeleteChips mayai, chips dume, nyama choma, Safari, Kilimanjaro, baada ya kazi burudika na Tusker. Vitambi mpoo??????????? Mazoezi hoyeee-----------Vitambi juuu zaidi.
ReplyDeleteJamani matumbo hayo...angalau mpige situps. Sio vizuri kuangalia hayo matumbo
ReplyDeleteDuh yaani kweli kuna watu mnajua kuangalia.. yaani wewe mdau hapo juu uliyeuliza kama huyo ni ALI CHOKI au Dr CHENI ndo umenifumbua macho.. nikaona nirudi tena kutizama picha vizuri.. kutahamaki kumbe kweli huyo ni Dr CHENI. ama kweli bongo tambarareee
ReplyDeletewabongo acheni tabia ya kula usiku,mimi nina watoto wawili niligundua siri nakula ninachotaka ila mwisho saa moja jioni labda niende kwenye pati,ila mwisho saa moja then nakunywa maji mengi sana usiku kila nikiamka .basi sina tumbo kabisa niko flat kabisa hii siri nilisoma article ya moja kwamba u mwili unapumzika sio vizuri kuujaza mabia,manyama chona ndio maana mnapata vitambi.
ReplyDeleteayo matumbo
ReplyDeletendipo MLIPOTOKA UMO NDANI
nyambaf zenu
'Da Asha mona wewe tumbo lako umelistiri lakini unakubali matumbo ya hawa wakinamama wenzako yakae wazi kwenye kadamnasi?
ReplyDeletejamani ushamba wa mavazi unasumbua sana ktk fani ya muziki bongo. utakuta viatu mabuti marefu ya winter wametinga jua la sanane wanakata mayao! jamani vitovu huvaliwa na wale kinadada wanaotaka kuonyesha jinsi walivyo na shepu nzuri za matumbo,sasa nyie mnapelekwapelekwa tu na huyo mbunifu wenu wa kuvaa hadi mnajikuta MNATUONYESHA VITAMBI. haya kazi kwenu sasa
ReplyDelete