Komandoo Hamza Kalala

salaam sana bro michuzi,

Nomba niweke ombi langu katika blogu ya jamii ili wadau waweze kunisasaidia.
ombi langu kwa wadau: kuna nyimbo naipenda sana ya Hamza Kalala jina lake siikumbuki vizuri ila nakumbuka maneno machache katika beti zake.

    "nimekusamehe lakini sintakusahau kwa uliyo nitendea kalala heee heeee
    .....wakati wa shida umesahau yale tuliyotenda nawe,wakati unaelewa
      wakati una elewa hakuna bingwa/komando wa shida....."

kama kuna mtu anaweza kunishauli wapi nitaipata.tafadhari naomba afanye hivyo.
        asante sana bro
                            mdau.
                 mtanzaniamwenzenu@yahoo.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2009

    kadiri kasimba, naonekana mjinga
    iringa, mwanza, arusha kote nimefika
    nifanye nini cherie ujue kama nakupenda

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2009

    unaitwa rafiki mnafiki.alipiga akiwa na washirika jazz band akiwa na kina abdul salvar,Adam bakari( sauti ya zege)Eddy sheggy,msafiri n.k
    mdau kisiju.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2009

    heee
    unautakia nini??mbona umekaa kishari wimbo wenyewe,mipasho!!

    nna wasiwasi nawe muombaji

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2009

    wewe unataka ule wazamani au alio uludia akiwa na mwanae kalala jonear/

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2009

    WE ANONY WA 3 HAPO JUU,KAMA HUJUI KITU KAA KIMYA, SIO KUANZA KUWEKA MADONGO PASI NA SABABU. KWA WENGINE MJIFUNZE KUSOMA MASWALI, MNAKURUPUKA TU, MDAU ANATAKA KUJUA PIA KUWA ATAUPTA WAPI HUO WIMBO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...