msanii maarufu wa kuigiza sauti za viongozi
steve nyerere aongea na globu ya jamii
juu ya michakato yake ya kuzindua dvd
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa ni kiboko!
ReplyDeleteMICHUZI ISSA,
ReplyDeleteNAKUPONGEZA KWA UBUNIFU AMBAO SIJAUONA KWENYE BLOG NYINGI (ZILE NINAZOZITEMBELEA). UBUNIFU WAKO UNATOKANA NA KWAMBA UNABADILIKA NA WAKATI. NI ZAMA ZA TEKNOLOJIA YA KISASA HII. WATU, ZAIDI YA KUSOMA MAANDISHI, WANATAKA KUSIKIA SAUTI (UMEFANIKIWA), WANATAKA KUONA PICHA ZA WATU WANAOTEMBEA, WANAOONGEA, NK. UKIANZIA MAHOJIANO ULIYOANZA HIVI KARIBUNI NA WATU MBALIMBALI, MAONYESHO KWENYE MAHARUSI, NK.
KAZI NZURI NI MUHIMU KUISIFIA. SAMAHANI SIJAANZIA KUWASIFIA WAIGIZAJI AU UNAOWAHOJI, MAANA WAO HAWAJAJILETA KWAKO, UMEWATAFUTA (UBUNIFU WA MAWAZO). MAANA WAO WAPO TU SIKU ZOTE.
HUYU STEVE NYERERE NI KIBOKO.... TUNAHITAJI SHULE YA VIPAJI MAALUMU TANZANIA. SIYO MZUMBE, ILBORU, KIBAHA, TABORA BOYS, TABORA GIRLS, KILAKALA, NA MSALATO.
Huyu mtoto kabalikiwa saaaaana tu. The commedy cha mtoto tu
ReplyDeleteJamaa kasema shoo yake inayokuja itakuwa ni stand up comedy ya kwanza Tanzania, Michuzi ukajua kabisa hicho kitu kina utata, mkakaa kimya nusu dakika mnaangaliana, ukamuuliza "ahaa, kwa hiyo unaanzisha stand up comedy, yaniii...wee umefanya stand up comedy katika shughuli tofauti lakini..." akajibu "ndio."
ReplyDeleteKashafanya stand comedy lakini hii itakuwa ni ya kwanza....
Wote wawili mlikuwa mnajua kwamba mnadanganyana.
Safi sana steve unajitahidi.
ReplyDeleteUnahitaji ufanye mazoezi zaidi hasa kwa obama kwani hujaweza kumpatia vilivyo.
Nyerere unampatia kwa 95%
Kikwete 70%
Obama 40%
Pia tunahitaji sauti ya Magufuli akipambana na wavuvi haramu
kaka michuzi huyu kaka uchumi ameukalia,mpe ushauri atafute ukumbi watu wawe wanatoa pesa wanaenda kupata burudani kama wafanyavyo kina chris rock wametajirika kwa vipaji kama hivyo.maskini yaani iyo pesa iko nje nje.
ReplyDeleteMICHUZI KICHWA CHA MWENDA WAZIMU KIKIFUNGWA TU NO RESULT LIVE....
ReplyDeletekweli dogo pesa zinamsubiri lakini yeye hajaziona bado. wangeungana na yule jamaa anaitwa Babu Ayubu yule jama nae yuko juu sana pengine hata kuzidi steve. jamaa akiigiza sauti za viongozi kama nyerere, bush, kikwete,nk utajikuta umeamka na kumpa mwekundu wa chapchap. utacheka hadi ufe manake ni kama kiongozi mwenyewe ndiye unayemuona kwa wakati huo. michuzi washauri hawa wawili waungane watatengeza pesa sana. ASIMSAHAU MAGUFULI KWENYE HIYO NANIHII YAKE.
ReplyDeleteMDAU
UK
kama alivyo sema mdau nyerere ok but viongozi wengine ndio zile percent so keep it up tizi kwa sana,uwezo unao ntakutafuta tu make biashara nipe namba yako ya simu.
ReplyDeletemdau canada!
kwanza habari yako kaka michuzi sijawahi kutoa comment hii kali hongera sana steve nyerere...sasa tunaomba utuweke live siku atakapo kuwa hapo...asante kwa kutuhabarisha mdau sweden
ReplyDeleteHuyu anon wa 12:21 mi simuelewi,kama Michuzi hakutoa matokeo ya mechi haina maana LIVER amefungwa kwa taarifa yako tumewapiga WAGONGA NYUNDO "tatu bila tatu bila oh oh oh oo! wamebana wameachia" tena kwao.Tunasubiri KICHWA kingine.
ReplyDeleteKuhusu huyo DOGO mi namvulia kofia hasa kuhusu anavyomuiga MCHONGA.Azidi kujitangaza na kubuni Mbinu za kujiletea mafanikio kwani mi naona ni kweli kama alivyosema Mdau hapo juu "Uchumi anao lakini anaukalia" Kaza BUTI Dogo safari bado ndefu!
THE KOP
ST-JEAN
CANADA
mwambie asisahau wahaya wawili,Tibaigana na Magufuli
ReplyDeleteKuna mdau hapo juu ametoa wazo la steve kuchukua ukumbi na weekend anakua na live shoo ya vunja mbavu, sure ni jambo ambalo kwa kipaji chake angekua anajipatia pesa za kutosha, uhakika watu weekend twende wapi.. tunajisogeza kwa steve..kama chris rock, fox.. na wengine,
ReplyDeletegud idea..
kwa jakaya na nyerere nakupa 100% ila kwa Barack dont waste your time my bro. you cant copy him
ReplyDeleteTalent unayo, hiyo siyo siri ndugu yangu, hasa kwa upande wa sauti za viongozi wa nyumbani, Two thumbs up!! Kuhusu Obama nafikili siku hiyo usiigize sauti yake, nafikili unahitaji muda kidogo wa kuizoea. I know you can do it, kipaji unacho.
ReplyDeletesijaelewa kasema nini kwa obama ila kawapatia kikwete na mchonga
ReplyDeletekeep up good work!
Two cheers for Steve Nyerere. I never heard the guy before but his impressions of Kambarage is faultless. As for Obama's, not convincing at all.
ReplyDeleteOne advice; make sure your 'r's and 'l's are properly pronounced. Keep up the good work, kiddie
Michuzi make sure for us abroad are given websites from where we can purchace the DVDs
Idumu blog
Great Talent Especially on Nyerere!!!
ReplyDeleteGood job Steve!!!
Young Steve Nyerere. You are talented. However, dont submit to complacency keep on improving.
ReplyDeleteaisee ntafurahi sana nikimuona huyu jamaa anavyomuiga Pinda alivyokuwa akilia bungeni kuhusu maalbino
ReplyDeletehahahahahaha Obama mwisho tu ndio nimemuelewa!!!LOL
ReplyDeleteObama bado mzee labda 10%
ReplyDeleteNyerere 100%
Kikwete 75%
Mimi ninaona juu ya obama bado ana kazi sana. Nafikiri akiweza hotuba ya Nyerere aliyotoa kuhusu Iddi Amin 1978 "uwezo wa kumpiga tunao, sababu ya kumpiga tunayo, na nia ya kumpiga tunayo". Pamoja na hotuba aliyotoa wakati anang'atuka pale Diamond Jubilee ilikuwa kali sana.
ReplyDeleteSteve, umenivunja mbavu kwa jinsi unavyowaweza JK na Baba wa Taifa. Muumba amekupa kipaji cha ajabu, na sherti ukiendeleze. Kama walivyoshauri wadau wengine, kwa wakati huu zingatia hao wa nyumbani. Hao kweli unawapatia. Nakutakia mafanikio sana.
ReplyDeleteobama ndugu yangu bado... ila mchonga i salute you.. keep a good wotk though.......
ReplyDeleteMhh kwa Obama 0.0000%, halafu nilishamwona live huyu kaka. na siku hiyo akamuiga George Bush..napo kwa kweli..ilikuwa 0.001%. Ila kwa viongozi wa KITZ anawapatia sawa sawa.. endeleza kipaji.
ReplyDeleteViongozi wa nje bado unahitaji..mazoezi zaidi.
Yaani hata ukimwekea mtu kanda ulivyoigiza Obama, ukimuuliza hii sauti ya nani? hamna atakayekisia kuwa ni Obama....
Kwa Obama umepatia tu pale mwishoni '......thank you, I love you". kule nyuma huwa haongei hivo haraka haraka. Halafu ukimsikiliza vema Obama, huongea kwa dizaini ya kigugumizi cha kujitakia, ukitaka kumwigiza vema.
ReplyDeleteSikiliza kwenye youtube mara kadhaa, utaipatia tu sauti yake. Mie najua hujamsikiliza tu vya kutosha. Mwigizaji huwa hashindwi ilimradi akitaka.
Gari ya kuazima hiyo kwa ajili ya video ya Michuzi.
ReplyDeleteWasanii bwana.
Otherwise kipaji unacho kijana, fanyia zoezi sauti ya Obama.
Good job kwa Steve Nyerere, Unajua Mr. Michuzi kamstua atoe vionjo vya fasta fasta na kaweza kutoa bila kujitayarisha... mimi nampa:
ReplyDeleteNyerere-100%
Kikwete-99.9%
Kwa Obama hakusema sana, i will wait for his DvD, nijue inakuwaje...
Mr. Michuzi, inabidi umuulize kijana kwa wadau wa nje ya nchi watapataje hizo DvD's?
Nimekubali jamaa ana kipaji, kampatia kweli JK na Mwl. Nyerere lakini Obama sikumuelewa hapo mwanzoni, nimempata mwishoni tu alivyomuiga Obama akishukuru na kuaga, kazi nzuri, kila la kheri!
ReplyDeleteYOU DID GREAT JOB ON NYERERE AND KIKWETE. YOU NEED MUCH WORK ON OBAMA, I THINK B'SE OF ACCENT. IT IS NOT EASY TO COPY OTHER ACCENT WHEN YOU NO MORE A CHILD.IF YOU DO OBAMA INFRONT OF AMERICANS, THEY WONT UNDERSTAND WHAT YOU ARE TALKING ABOUT.
ReplyDeleteKEEP IT UP GOOD JOB, YOU HAVE GREAT POTENTIAL.
IT IS WHAT IT IS.
OMG! Baba wa taifa,nisingekuona hapo laivu unamuigiza nisingekubali kwamba sio yeye anaongea! WOW,
ReplyDelete