Naomba unisaidie kutusaidia kumtafuta ndugu yetu ambaye anasadikiwa kuwa yuko Kualur Lumpur, Malaysia for over 15 years now. Details za huyu ndugu yetu ni kama ifuatavyo:
1.JINA LAKE: YUSTACE K. KAKALA (EUSTACE K. KAKALA)
2. EDUCATION BACKGROUND:CIVIL ENGINEER FROM BANGALORE UNIVERSITY, BANGALORE,INDIA. FROM 1986 TO 1990
SECONDARY EDUCATION KIBAHA 1977 TO 1980, ·
ALAFI CHUO CHA MAJI, DAR KABLA YA KWENDA INDIA
3. PEOPLE TO CONTACT AKIPATIKANA
INNOCENT LUGUMAMU, e-mail: ilugumamu@hotmail.com ·
MUSHUBILA KAMUHABWA, e-mail: shubila2002@yahoo.com
· MAGE KAKALA 255-752-797181 OR 255-786-633584
· GREGORY KAMALA AT 255-753-958393
· JULIANA KAKALA AT 255-787-43002
NAOMBA KUTANGULIZA SHUKURANI ZETU.
Innocent E. Lugumamu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 29, 2009

    poleni wanandugu..lakini huyo ndugu yenu anaonekana sijui ni kudharau yaani hata hawezi tuma ujumbe mfupi kwa ndugu zake? kasha nogewa huyo na masingasinga.....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 29, 2009

    naomba msaada kupitia blog ya jami ,ni myaka mingi tumemkosa ndugu yetu kwa jina mahmood kongolo. tuliambiwa yuko nederland.lakini uko hatujui tumtume nani kutuulizia,hivo nimeona nipitie blog hii kwa vile nina imani hata huko inawapenzi, tutashukulu sana endapo tutafanikiwa kumpata. nawashkulu wale wenye moyo wa huruma.email yangu ni muvu77@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...