Naomba unisaidie kutusaidia kumtafuta ndugu yetu ambaye anasadikiwa kuwa yuko Kualur Lumpur, Malaysia for over 15 years now. Details za huyu ndugu yetu ni kama ifuatavyo:
1.JINA LAKE: YUSTACE K. KAKALA (EUSTACE K. KAKALA)
2. EDUCATION BACKGROUND:CIVIL ENGINEER FROM BANGALORE UNIVERSITY, BANGALORE,INDIA. FROM 1986 TO 1990
SECONDARY EDUCATION KIBAHA 1977 TO 1980, ·
ALAFI CHUO CHA MAJI, DAR KABLA YA KWENDA INDIA
3. PEOPLE TO CONTACT AKIPATIKANA
· MAGE KAKALA 255-752-797181 OR 255-786-633584
· GREGORY KAMALA AT 255-753-958393
· JULIANA KAKALA AT 255-787-43002
NAOMBA KUTANGULIZA SHUKURANI ZETU.
Innocent E. Lugumamu
Innocent E. Lugumamu
poleni wanandugu..lakini huyo ndugu yenu anaonekana sijui ni kudharau yaani hata hawezi tuma ujumbe mfupi kwa ndugu zake? kasha nogewa huyo na masingasinga.....
ReplyDeletenaomba msaada kupitia blog ya jami ,ni myaka mingi tumemkosa ndugu yetu kwa jina mahmood kongolo. tuliambiwa yuko nederland.lakini uko hatujui tumtume nani kutuulizia,hivo nimeona nipitie blog hii kwa vile nina imani hata huko inawapenzi, tutashukulu sana endapo tutafanikiwa kumpata. nawashkulu wale wenye moyo wa huruma.email yangu ni muvu77@yahoo.com
ReplyDelete