
Marehemu Margaret Mary Kumbuka
Mahadia,Arafha na Khalid Kumbuka. Wanasikitika kutangaza, kifo cha mama yao; MARGARET MARY KUMBUKA Kilichotokea Tarehe 3 mwezi wa 5 katika hospitali ya ST. JOSEPH MEDICAL CENTER,BALTMORE MARYLAND USA.
Msiba upo nyumbani kwa Mahadia Kumbuka,
1905 Treetop ln # 24,
silver spring ,
MD 20910.
Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda TANZANIA kwa mazishi unaendelea. Tunawaomba ndugu watanzania wote waishio Washington DC na vitongoji yvake, na watanzania wengine popote mlipo tusaidiane kifedha ili kufanikisha zoezi hili kwa haraka.michango inakaribishwa ipelekwe kwenye akaunti ifuatayo:-
MAHADIA KUMBUKA
BANK OF WACHOVIA
ACCOUNT # 1010132859053
RT# 055003201
Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na:-
Stephano Mhina #240-305-1109
Santa Chacha #240-418-6459
Khalfani Lyimo # 202-468-8312
Said Mwamende # 301-712-4736
Aristottle Maruma # 202-253-9428
MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI.
AMINA.


Poleni wafiwa.
ReplyDeleteMichuzi naomba Kuwakumbusha wadau kutotoa account details zao na Personal details hapa bloguni kwa kuepusha uhalifu wa Mtandaoni, kuna maciber criminals wengi ambao wana uwezo mkubwa wa kutumia taknolojia hii kuwatia hasara watu za muda mfupi na mrefu.
Poleni sana wafiwa.
WAFANYAKAZI WA INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA TUNAWAPA POLE WATOTO NA NDUGU WA MARGARET TUKO NANYI KWENYE WAKATI HUU MGUMU.
ReplyDeletePoleni sana wafiwa na ndugu wa marehemu. Ninawaombea kwa Mungu wetu mwema, awape nguvu katika wakati huu mgumu. Mwenyenzi Mungu atawajalia faraja. Amina.
ReplyDeletepoleni sana wana familia pia watanzania wote wa huko USA ,nasema tena haya mambo ndiyo tunayotaka jumiya ya watanzania popote pale walipo ,siyo ooo sijui tawi chama gani reading,mara london mara moscow hayana mpango wowote,umoja wa watanzania ndiyo kitu cha msingi jamani
ReplyDeleteMUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU,MAHALA PEMA PEPONI "AMEN"
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA,NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE ,APUMZIKE KWA AMANI "AMEN"