Marehemu Margaret Mary Kumbuka

Mahadia,Arafha na Khalid Kumbuka. Wanasikitika kutangaza, kifo cha mama yao; MARGARET MARY KUMBUKA Kilichotokea Tarehe 3 mwezi wa 5 katika hospitali ya ST. JOSEPH MEDICAL CENTER,BALTMORE MARYLAND USA. 

Msiba upo nyumbani kwa Mahadia Kumbuka, 
1905 Treetop ln # 24,
silver spring , 
MD 20910. 

Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda TANZANIA kwa mazishi unaendelea. Tunawaomba ndugu watanzania wote waishio Washington DC na vitongoji yvake, na watanzania wengine popote mlipo tusaidiane kifedha ili kufanikisha zoezi hili  kwa haraka.michango inakaribishwa ipelekwe kwenye akaunti ifuatayo:- 

MAHADIA KUMBUKA 
BANK OF  WACHOVIA 
ACCOUNT # 1010132859053 
RT# 055003201 

Kwa taarifa zaidi unaweza kuwasiliana na:- 
Stephano Mhina #240-305-1109 
Santa Chacha #240-418-6459 
Khalfani Lyimo # 202-468-8312 
Said Mwamende # 301-712-4736 
Aristottle Maruma # 202-253-9428 

MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU  PEMA PEPONI. 
AMINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    Poleni wafiwa.
    Michuzi naomba Kuwakumbusha wadau kutotoa account details zao na Personal details hapa bloguni kwa kuepusha uhalifu wa Mtandaoni, kuna maciber criminals wengi ambao wana uwezo mkubwa wa kutumia taknolojia hii kuwatia hasara watu za muda mfupi na mrefu.

    Poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2009

    WAFANYAKAZI WA INTERNATIONAL SCHOOL OF TANGANYIKA TUNAWAPA POLE WATOTO NA NDUGU WA MARGARET TUKO NANYI KWENYE WAKATI HUU MGUMU.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2009

    Poleni sana wafiwa na ndugu wa marehemu. Ninawaombea kwa Mungu wetu mwema, awape nguvu katika wakati huu mgumu. Mwenyenzi Mungu atawajalia faraja. Amina.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2009

    poleni sana wana familia pia watanzania wote wa huko USA ,nasema tena haya mambo ndiyo tunayotaka jumiya ya watanzania popote pale walipo ,siyo ooo sijui tawi chama gani reading,mara london mara moscow hayana mpango wowote,umoja wa watanzania ndiyo kitu cha msingi jamani
    MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU,MAHALA PEMA PEPONI "AMEN"
    RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA,NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE ,APUMZIKE KWA AMANI "AMEN"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...