Wapendwa marafiki wa busara Watazamaji wa luninga kutoka Afrika mnanafasi ya kuangalia toleo lililopita la mwezi wa pili la tamasha la muziki Sauti za Busara kupitia TV ipendwayo na wengi TBC1 ( na wenye DSTV katika chaneli143) kila jumanne kuanzia saa1:30 usiku (kwa saa za Afrika Mashariki)
Toleo la leo ni la pili katika matoleo matano, ambayo yamedhaminiwa na mtandao wa Zantel. Shukrani za dhati kwa marafiki wetu kutoka ScreenStation (UK), kwani pia kuna filamu ya dakika kumi inayopatikana katika www.youtube.com/watch?v=pOS3pGZsXZ8
Kwa sasa unaweza kuchagua picha nzuri za tamasha, angalia Jeremy Llewellyn-Jones’ kupitia
au zaidi katika
Na mwisho , kwa wasanii wa Afrika na pande zote duniani wanaotaka kushiriki katika toleo la 7 la Sauti za Busara, litakalofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 11 mpaka 16 Februari 2010, unaweza kutuma maombi yako kupitia tovuti yetu katika
Makamuzi kwenda mbele katika “tamasha rafiki duniani”!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...