kunradhi wadau; video haziko katika engo na kiwango 
kinachotegemewa lakini mdau aliyeichukua 
video hii kwa kamera ya simu 
 si mwandishi wa habari 
na ukizingatia  alikuwa katika uwanja wa vita  
amejitahidi kwa kadri ya uwezo wake angalau tuone
 kilichojiri. Anastahili pongezi....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2009

    We vipi, kwa hiyo waandishi wa habari si Binadamu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2009

    Yaani mwandishi wa habari si binadamu? Mliochoka kwa jua (bila box) na wasiojua jokes msijibu....
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2009

    hahahahaah wabongo wanashangilia wanafata risasi wakifa walalamike eti kova hakuwataarifu.asante mdau kwa video nimependa sauti yako

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 08, 2009

    Kaka Michuzi tunathamini sana jitihada zako, wala usijali kama imekuwa nzuri wala nini hayo yote yanaeleweka cha muhimu ni kwa sisi ambao tuko nje ya nchi tumeweza angalau kupata picha ya nini kinaendelea nyumbani... KEEP IT UP KAKA!!!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2009

    Pongezi mdau aliyesaidia kutuhabarisha. Hii kweli ni globu ya jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...