mratibu wa mlimani park orchesta a.k.a sikinde 
ngoma ya ukae papaa juma mbizo  aongelea ratiba mpya ya bendi 
hiyo ambapo kila ijumaa watatumbuiza vijana
 wa zamani kwa vibao vya enzi hizo vya sikinde
 katika ukumbi wa bwalo la maafisa 
wa polisi oysterbay jijini dar kila ijumaa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...