Mzee wa libeneke ,naomba wapenzi wote wale wa sikinde hii ya zamani wanikumbushe "credits"za hawa magwiji wa sikinde enzi hizo ,nimeikuta hii orodha kwenye kumbukumbu zangu nadhani itawakumbusha wengi enzi za nyimbo kama 'usitumie pesa kama fimbo,nalala kwa tabu , ubaya'' nk;-
1-HABIBU ABASI-
2-HASSSANI BICHUKA
3-JOSEPH BENARD
4-ABEL BALTHAZAR
5-MICHAEL BILALI
6-MAX BUSHOKE
7-MICHAEL ENOCK
8-ABDALLA GAMA
9-MUHIDINI GURUMO
10-JUMA HASSAN
11-MOHAMEDI IDDI
12-HAMISI JUMA
13- BONIFASI KACHALE
14-SHABANI LENDI
15-HENRY MKANYIA
16-JOSEPH MULENGA
17-SULEIMANI MWANYILO
18-COSMAS CHIDUMULE
19-ALLY YAHAYA
20-BENO VILLA
21-HURUKA UVULUGE
22-MASHAKA SHABANI
23-MACHAKU SALUM
24-MUHARAMI SAIDI
25-CHIPEMBELE SAIDI
26-KESSY OMOJO
27-ALLY OMARY
28-JULIUS MZERU
29-IBRAHIMU MWICHANDE
30-HAMISI MIRAMBO NA
31-FRANCIS LUBUA
Kwa jumla jamaa walikuwa wanatisha sana
kweli mdau hiiyo timu ilikuwa inatisha na nyimbo zao bado moto wa kuotea mbali mpaka sasa
ReplyDeleteongera sana kutukumbusha nyumbani enzi zile mziki ulikuwa je na wakina nani ni wahusika Naomba hiiyo timu ipangwe kama wahusika kwenye namba zao na kama wapiga kinanda.mkaanga chipsi nk
mdau Darwin
MICHUZI,HEBU TUKUMBUSHE MTAALAMU WA ENZI HIZO NAMKUMBUKA JINA LAKE ALIKUWA ANAITWA BETTO,TENA ILIKUWA BILA YEYE BURUDANI HAINOGI HATA MZEE GURUMO ANAMKUMBUKA INGAWA KWA SASA NI MAREHEMU,HEBU TUKUMBUSHE ENZI ZA BETTO.
ReplyDeleteMDAU JOZOM
Umemsahau Shabani Dede
ReplyDeleteSAUTI YA ZEGE
ReplyDeleteADAM BAKARI UMEMSAHAU HAPO.
MWENYEZI MUNGU AMREHEMU.
MDAU,
UGHAIBUNI
SAMAHANI HAIHUSIANI NA ORODHA HII HAPA JUU, INGAWA NI KATIKA SAFU HIYOHIYO YA ZILIPENDWA.
ReplyDeleteNAULIZA NYIMBO ZA TANCUT ALMASI ZINAPATIKANA WAPI. MAANA HATA WAZEE WA MK MUSIC GALAXY, JAMBONET, HAWANA.
JAMANI TUNAKUMBUKA SANA "KINYE-KINYE KISONZO". (JAPO SIJUI HATA MAANA YAKE). LAKINI WADAU NISAIDIENI KAMA ZINAPATIKANA.
SHUKRANI,
MDAU,
UGHAIBUNI
MDAU NDIO MAANA NIMEOMBA WADAU WANISAIDIE KUPANGA WAHUSIKA NADHANI ITAPENDEZA
ReplyDeleteMDAU
Ukitaka kuzisikia tena hizo nyimbo zao za zamani siku hizi wanazipiga pale Police Ofiicers' Mess Ostabei, kila ijumaa kuanzia saa 3.30 usiku kwa kiingilio cha shilingi 3,000/= tu.
ReplyDeleteMi nilikuwepo Ijumaa iliyopita-ilikuwa dezo lakini kwa kuwa ndio ilikuwa ufunguzi.
Siku hizo za Ijumaa ni hizo za zamani tu.
Now I understand why most of these people die poor. How can you sustain a band of 31 members without run into bankruptcy?
ReplyDeleteOn top of that there are a lot of gate crashers and management money mongers SOBs.
Hapo ktk hiyo list naona amesahaulika Ali Makunguru(Rydhim guitor),marehem Muharami said(Golden Finger),Fresh Jumbe, yaani ilikua sio mchezo.Mdau wa ubungo.
ReplyDeletemdau amejitahidi sana ila nadhani atakuwa amemsahau huyu mtana shati wa kigoma mpuliza tarumbeta kwa jina Juma Town, mimi mdau mbegu,Reading, UK
ReplyDeleteHichi kikosi hakitimi bila kuwaweka kina makunguru said apendeki na mzee kitwana na ikiwezeka asosa mtunzio wa nyimbo itwayo naomba unisamee gama japo wakati inatoka redioni yeye alikuwa ameshatoka
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
Habari, mdau amekumbuka kwakiasi cha wale aliowakumbuka,kwa vile kulikuwa na awamu za waliokuwa wakiingia na kutoka, hata hiyo mkongwe Dede memsahau na umewakumbuka waliochipukia miaka ya mbele, nikitulia nitakupangienieni list kamili ilivyokuwa kuanzia1978 kuzaliwa kwa band,wakati huo akina Chidumule wakivaa raiseon na mabuga
ReplyDeleteHapo aliyesahaulika ni Abdallah Omar Mnenge (Dullah). Aliswing toka Msondo akaenda Nginde akaenda Revolution (Wana Njenje) akabinjuka Tatunane akatokomea ughaibuni.
ReplyDelete