ni michuano ya timu za vyombo vya habari na hapa mhariri mkuu wa gazeti la mwanahalisi saeed kubenea anakula jalamba kabla hajaingia kuokoa jahazi timu yake ilipokipiga na uhuru na mzalendo wakati wa michuano ya kombe la NSSF hivi karibuni katika viwanga vya sigara chang'ombe. baba wa muziki msondo ngoma walikuwepo kutumbuiza wakati gemu linaendelea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sasa wananchi hapo wanatakiwa kuangalia mpira, kuangalia msondo ngoma?

    Mipira yetu unorganize ya uswai inabidi wewe reserve mwenyewe ndio ufanye lobbying mwenzako atolewe uingie, duuu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2009

    this was a waste of my precious 3 minutes

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...