ni michuano ya timu za vyombo vya habari na hapa mhariri mkuu wa gazeti la mwanahalisi saeed kubenea anakula jalamba kabla hajaingia kuokoa jahazi timu yake ilipokipiga na uhuru na mzalendo wakati wa michuano ya kombe la NSSF hivi karibuni katika viwanga vya sigara chang'ombe. baba wa muziki msondo ngoma walikuwepo kutumbuiza wakati gemu linaendelea.
Home
Unlabelled
super sub seed kubenea (video)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Sasa wananchi hapo wanatakiwa kuangalia mpira, kuangalia msondo ngoma?
ReplyDeleteMipira yetu unorganize ya uswai inabidi wewe reserve mwenyewe ndio ufanye lobbying mwenzako atolewe uingie, duuu.
this was a waste of my precious 3 minutes
ReplyDelete