
mdau akiwa anapelekwa kwenye daladala kutoka kituo cha mikocheni tanesko. mengi ya mafuriko haya hutokana na kuziba kwa mifereji, hivyo mvua kiduchu huzaa mabwawa

kutokana na kuziba kwa mitaro pamoja na ujenzi holela unaoziba njia ya mtiririko wa maji hata kiota chetu cha maraha cha lilly's huathirika sana wakati wa mvua, iwe kubwa ama ndogo

sehemu za mayfair plaza msasani ndio usiseme
Utambarare utaisha kama tu,mafisadi watakapotokomezwa kabisaaa na watendaji watakapoacha kupokea mishahara ya "bure" na kuwa na discipline na kazi zao. Kinyume na hapo taswira kama hizi za "tambarare" hazitaisha kwenye blog yetu ya jamii.
ReplyDeleteKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
ReplyDeleteMENGI WALA ULIPOTI WEWE NI SIMBA AU CCM
ReplyDeletepiga ua garagaza sirudi bongo ng'oo.mseme mtakayo sema ila sirudi,michuzi nisalimie sana rafiki zangu hapo kwa bi mkubwa.ila sitii maguu kamwe bora kupiga box jujujuju kwa ju.
ReplyDeleteWatawala wa Jiji wasubiri kuitwa tena Ikulu ili wapewe maagizo ya jinsi ya kushughulikia tatizo hili.
ReplyDeleteSikukuu njema.
Faustine
http://drfaustine.blogspot.com/
wewe mpiga maboksi unayesema haurudi bongo akili yako haina darubini ya kuona mbali, mi nakwambia maisha ni bongo mwanaume siyo kukaa unavifurahisha vibibi vizee vya ughaibuni vilivyokata tamaa na maisha, mara uoshe mbwa, ujilipue,uolewe,udharauliwe kupita kiasi,ujiite mkimbizi,n.k.hata mimi nishafika maeneo mbalimbali ya ulaya,hakuna cha maana zaidi ya material things.wazungu wengi wako frustrated! nakushauri upige boksi sana huku ukiwafurahisha hao bibi vizee hata kwa kutumia viagra na baadaye uje bongo ule maisha. sisi tunatesa bongo,ughaibuni ni kutafuta mkwanja halafu unakuja kutumia na mamsapu bongo.katabahu!!
ReplyDeletenimeipenda picha #1
ReplyDeletemh